Mkuu wangu sasa si nasema ukweli wangu?Bado hampo vizuri mmemkosa RVP na Song
Duh!!!.......Mkuu wangu sasa si nasema ukweli wangu?Bado hampo vizuri mmemkosa RVP na Song
Naam Mkuu pengo la hawa ni kubwa sana. Naamini kabisa kama VP angekuwepo leo basi tungeshinda at least kwa goli 2-0.
Yeah mkuu, maana wale jamaa wawili ndio walikuwa vichwa wa Arsenal so ita take time kidogo ila tutaona tu itakuwaje naamini mbeleni mtakuja kufanya vizuri tu....
Duh!!!.......
Sasa hivi kila kitu itakuwa ni 'mmemkosa RVP na Song'.....
Arsenal wamecheza vizuri na wachezaji wapya hasa Carzola wamecheza vizuri licha ya muda mfupi walionao klabuni....Podolski ukimuangalia ni mzuri hata zaidi ya RVP....Giroud ndo usiseme anatafuta mipira na anajaribu kufunga hata kwa mbali.......Podolski na Giroud wote ni left footers kama RVP....Podolski ni mzuri kwwnyw free kicks kama alivyokuwa RVP zamani......
Liverpool leo wamepigwa 3 bila na vibonde WBA.......Chelsea na Man City wanaanza kesho, Man Utd Jumatatu.......Vipi nao wakitoka sare ama kufungwa utasema hamna kitu?,la hasha......Ni muda tu,timu nyingi zimesajili upya na kubadili mifumo ya uchezaji kutokana na wachezaji wapya so ni muda tu ndo wahitajika kwa wachezaji ku cope na mifumo mipya na kuzoea mazingira ya EPL(hasa Giroud na Podolski,Cazorla anaonekana tayari ameshazoea EPL pamoja na kukaa muda mfupi sana Imarati)....
Kwa game ya leo ya Arsenal,nimefurahi kuona Carzola akicheza mpira wa aina ya akina Xavi Hernandez uwanjani,anakimbia,anapiga pasi ndefu na fupi za kutengeneza magoli,anapiga chenga na anajaribu....Diaby alianza kwa kasi na mchezo mzuri lakini kadiri muda ulivyoenda alikuwa akipunguza kasi na kupotea......Gervinho bado ana tatizo la uchoyo na 'anao anao' nyingi.....Arteta kacheza vizuri pale kati....Beki za kati TV5 na Per wameelewana vizuri, Carl kajitahidi sana kwenye beki ya kulia na amepiga krosi nyingi japo bado anaonekana kutokuwa na nguvu hasa katika kupiga pasi ndefu na krosi/kujaribu mashuti ya mbali......Kieran kacheza vizuri lakini bado yupo taratibu na anapoteza mipira.........Walcott kacheza vizuri,naye kama Gervinho ana tatizo la kukaa muda mrefu na mipira.......Giroud kacheza vizuri......Arshavin bado ni tatizo, Ramsey kacheza vizuri kwa muda mfupi aliokaa uwanjani......Kipa wetu ni mzuri na hakupata rabsha nyingi sana leo kutokana na umahiri wa mabeki...
Kwa ujumla timu ni nzuri.......OX na Wilshere wakiwa vizuri watatusaidia sana.....
COYG
Once a Gunner, always a Gunner......
Proud to be a Gunner....
Tuombe Mungu Mkuu lakini mimi nilishapoteza imani na AW na hii management ya Gunners miaka mingi tu...Imagine timu yetu ingekuwa na hizi additions za msimu huu na akina VP, Adebayo, Nasri, Fabregas tungekuwa hatushikiki si tu kwenye EPL bali Europe yote na dunia tungekuwa moto wakuotea mbali. Kama performance itakuwa mbaya basi tutapoteza wacheza zaidi kipindi kile cha December/January na kubaki kuwa washindikizaji tu. Timu kama MANU na MANC hazipotezi star players wao kila msimu kama ilivyo Gunners.
Hata mimi kuna kipindi nilipoteza kabisa imani na AW....Lakini baadae nilikuja kugundua kwamba simtendei haki AW....Tatizo sio AW,tatizo ni bodi ya Arsenal.....Tatizo ni mfumo wa ulipaji mishahara uliopo Arsenal.....Wachezaji wengi wanaondoka Arsenal kwa sababu ya mishahara duni ukilinganisha na timu nyingine.......Bodi ya Arsenal inapaswa kubadilika na kubadili mfumo wa ulipaji mishahara,tofauti na hapo Arsenal itaendelea kuwa feeder club kila mwaka......Kazi yetu itakuwa ni kutengeneza wachezaji na kuwajengea umaarufu na kuwauza hivyo habari ya vikombe itabidi tusahau......Tuombe Mungu Mkuu lakini mimi nilishapoteza imani na AW na hii management ya Gunners miaka mingi tu...Imagine timu yetu ingekuwa na hizi additions za msimu huu na akina VP, Adebayo, Nasri, Fabregas tungekuwa hatushikiki si tu kwenye EPL bali Europe yote na dunia tungekuwa moto wakuotea mbali. Kama performance itakuwa mbaya basi tutapoteza wacheza zaidi kipindi kile cha December/January na kubaki kuwa washindikizaji tu. Timu kama MANU na MANC hazipotezi star players wao kila msimu kama ilivyo Gunners.
Hata mimi kuna kipindi nilipoteza kabisa imani na AW....Lakini baadae nilikuja kugundua kwamba simtendei haki AW....Tatizo sio AW,tatizo ni bodi ya Arsenal.....Tatizo ni mfumo wa ulipaji mishahara uliopo Arsenal.....Wachezaji wengi wanaondoka Arsenal kwa sababu ya mishahara duni ukilinganisha na timu nyingine.......Bodi ya Arsenal inapaswa kubadilika na kubadili mfumo wa ulipaji mishahara,tofauti na hapo Arsenal itaendelea kuwa feeder club kila mwaka......Kazi yetu itakuwa ni kutengeneza wachezaji na kuwajengea umaarufu na kuwauza hivyo habari ya vikombe itabidi tusahau......
AW hapaswi kulalamikiwa katika hili la wachezaji kuondoka,anapaswa kuonewa tu huruma......Wa kulalamikiwa ni board wa Arsenal........
Najivunia kuwa Mshika Bunduki.........
Once a Gunner, always a Gunner......
Gunners for life...................No matter what.....
Tuombe Mungu Mkuu lakini mimi nilishapoteza imani na AW na hii management ya Gunners miaka mingi tu...Imagine timu yetu ingekuwa na hizi additions za msimu huu na akina VP, Adebayo, Nasri, Fabregas tungekuwa hatushikiki si tu kwenye EPL bali Europe yote na dunia tungekuwa moto wakuotea mbali. Kama performance itakuwa mbaya basi tutapoteza wacheza zaidi kipindi kile cha December/January na kubaki kuwa washindikizaji tu. Timu kama MANU na MANC hazipotezi star players wao kila msimu kama ilivyo Gunners.