Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal bana...............
Hizi ndio point ambazo mwishoni mwa ligi zinaigharimu timu

Siipendi kauli ya vijana wamecheza vizuri kwa maana kumili mpira na kushambuali, huu ndio mfumo wa Arsenal
Kinacho matter hapa ni ushindi na si pasi mianane

Ngoja tuvute subira tuone, lakini kiukweli sioni ubingwa hapa kwa mchezo huu
 
Full Time

Arsenal 0-0 Sunderland

Timu ni nzuri......Carzola ni habari nyingine.......
 
Ukijiona una matatizo saana mwangalie na jirani yako.... "Something is better than Nothing" For L'Pool fans poleni....
 
Arsenal bana...............
Hizi ndio point ambazo mwishoni mwa ligi zinaigharimu timu

Siipendi kauli ya vijana wamecheza vizuri kwa maana kumili mpira na kushambuali, huu ndio mfumo wa Arsenal
Kinacho matter hapa ni ushindi na si pasi mianane

Ngoja tuvute subira tuone, lakini kiukweli sioni ubingwa hapa kwa mchezo huu
Proud to be a Gunnner.......
 
Too soon to comment....
 
mechi ya kwanza imeisha kwa draw na tumeona jinsi timu yetu ilivyo.kwa maoni yangu kwa jinsi nilivyoiona timu yetu,inahitaji muda mrefu wa wachezaji kuzoeana uwanjani ili wafanye vizuri.mfano kama leo podoski na gavinho walikuwa hawailewani sana pale mbele
 
Mkuu sanderland wamekuja ku peak bus na kuacha striker mmoja mbele... Kawape pole Liverpool kachwapwa game ya kwanza

Yeah mkuu sanderland ukifatilia kwa makini sana utaona huyu kocha ndio anavyowachezesha mechi za away watafute point moja tu ni enough na ndio kama walivyocheza leo, vile vile Arsenal bado wachezaji wapya baadhi hawaelewani kabisaaa...
 
Point moja sio mbaya ... Poor performance from gervinho... Black cats walikuja kujilinda wamefanikiwa

nimeipenda sana style yao nilitegemea watashambulia kwa counter attack tusubiri match zinazofuata huenda venga akabadilika
 
Back
Top Bottom