Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sijawai kuona timu duniani ikifungwa penalty 3-0 hii nayo ni record ya dunia ila spain bora wametoka wangetia aibu uko mbele[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Chelsea vs Edwin van der kombe la ngao mwamba alipangua penati zote 3 mpaka ya Frank lampard
 
Hakuna sehemu nimeandika waarabu wanabaguliwa SA
Narudia tena,isome comment yangu tena.
Sawa tufanye umemaanisha waafrika wanabaguliwa kule SA ila hawalalamiki kuwa SA ni wabaguzi

Bado narudi pale pale kuwa una uhakika ubaguzi wa SA huwa haulaaniwi tena hasa na waafrika

Hawa wamorocco wamelalamikiwa kama tu wasouth wanavyolalamikiwaga na Xenophobia yao haya umefurahi sasa

Sababu ninyi kila kitu huwa mnapenda kulinganisha yani ikitokea ishu inayogusa waarabu au waislamu

Badala ya kudeal na hiyo ishu iliyoko mezani lazima muanze kulinganisha mbona wazungu hivi na hivi au wakristo hivi na hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wanajulikana ni watu wenye roho mbaya na wabaguzi sana..


Ila kwenye soka huwa huwa naamini mpira unatuunganisha

Lkn hizi shetani kisa zimefika robo fainali basi zinajiweka kando na Africa hawajui kuwa wanawakilisha africa?

Hii jamii ya kiarabu Mungu aliilaani bila shaka
 
Huu uzi unapitiaga misukosuko kibao ila either washinde waarabu,wamoroco,wareno,wafaransa,wabrazili,waholanzi,etc ni haki yao ila sio Argentina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Utashangazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira unaunganisha watu sio kubagua

Mimi timu ya morocco napenda uchezaji wao toka awali kwa africa nilitamani morocco na Ghana wasitoke mapema kwasababu wana kitu cha zaida kuliko washiriki wengine

Wala sikuangalia uarabu wa morocco ila ubora wa timu yao

Anyway kila la heri Morocco kwenye mechi yao dhidi ya portugal wakifika nusu fainali watayaheshimisha mataifa ya kiarabu
Muslim wa Tz watawakilisha.
 
View attachment 2438500
Ngoja nikusaidie in incase haujui kifaransa.Huyo mchezaji hapa anasema ushindi wa jana ni kwa wamorocco wote,waarabu wote na waislamu wote duniani.Africa hata hajaitaja. Sema tunawapenda hivyo hivyo.
Kama kataja waarabu na waislam si tayari kawataja Afrika au Afrika hakuna hawa watu wa jamii hii? Bakhresa ni mwarabu na Kikwete ni mwislam, si wote ni waAfrika.. Afrika hatujiamini ndo maana issue ndogo kama hizi zinatutesa akili na kuona tumeteeengwa wakati ni kawaida
 
Mpira unaunganisha watu sio kubagua

Mimi timu ya morocco napenda uchezaji wao toka awali kwa africa nilitamani morocco na Ghana wasitoke mapema kwasababu wana kitu cha zaida kuliko washiriki wengine

Wala sikuangalia uarabu wa morocco ila ubora wa timu yao

Anyway kila la heri Morocco kwenye mechi yao dhidi ya portugal wakifika nusu fainali watayaheshimisha mataifa ya kiarabu
Hapa kwenye kuyaheshimisha mataifa ya kiarabu umeua saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].mimi siangalia mpira ki-patriotik bali naangalia kama burudani
 
Mwenye masikio na asikie, sauti ya ndani imenipa ratiba kama ifuatavyo:

Nusu Fainali(1): BRAZIL vs NETHERLANDS

Nusu Fainali(2): FRANCE vs PORTUGAL

Fainali: FRANCE vs BRAZIL

Bingwa: FRANCE

Sijapenda, ila sina namna.
Wewe unajua mpira
 
Sawa tufanye umemaanisha waafrika wanabaguliwa kule SA ila hawalalamiki kuwa SA ni wabaguzi

Bado narudi pale pale kuwa una uhakika ubaguzi wa SA huwa haulaaniwi tena hasa na waafrika

Hawa wamorocco wamelalamikiwa kama tu wasouth wanavyolalamikiwaga na Xenophobia yao haya umefurahi sasa

Sababu ninyi kila kitu huwa mnapenda kulinganisha yani ikitokea ishu inayogusa waarabu au waislamu

Badala ya kudeal na hiyo ishu iliyoko mezani lazima muanze kulinganisha mbona wazungu hivi na hivi au wakristo hivi na hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti una tatizo kubwa sana la uelewa,eti haya tufanye! Wewe ndio unaniamulia maana ya nilichokiandika mimi? Boya kabisa wewe.
 
Wale mashabiki wa Spain mmehamia timu gani sahivi
Wapo Argentina waliemuazima lugha
FB_IMG_16703916261344978.jpg
 
Back
Top Bottom