Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Au cyo!!! Karibu kwenye hatua ya ¼ fainali mkuu. Kila anayeishia hatua flani ndiyo kikomo cha uwezo wake. Mfano, hawa unaowaombea watoke kamwe hawatapita hatua hii ya ¼ kama hawana uwezo wa kufanya hivo, na kama uwezo wanao watapita tu hata iweje.

Yote kwa yote, ¼ fainali itakuwa ya kuvutia, kaa mkao wa ku-enjoy mkuu. Wenye uwezo wao watapita...
 
Hii inaukweli wowote?

Tuambieni kabisa ili kitengo cha waminyaji tujiandae na Portugal for revenge
Morocco ipo Africa ingawa watu wa North Africa wanajiona kwamba wenyewe ni middle East zaidi na wala hawa-identify na Africa (mimi hawa naona ni wapuuzi)

Morocco pia ni first Arab country kufika last eight...., Na kutokana na Imani zao / Dini zao wamejinyakulia mashabiki wa imani hizo (not necessarily football fans ila watu ambao can identify with them)

Binafsi mimi huko ninashabikia Morocco sababu ni timu ya Africa ingawa wakiwa Africa sijawahi kuwashabikia kutokana na tendency zao North African kujiona Superior (maybe being East African inasabisha hivyo na mara zote hizi timu enzi za Kalusha Bwalya alivyokuwa akikutana nao alikuwa anazipa shida); Pia zile gamemanship ya hizi Timu zilipelekea kwangu kuwaona hawafai

Al in all mimi nimependa discpline ya kocha wao ingawa tukirudi mashindano ya barani Africa nitaacha kuwashabikia....
 
Hii taarifa nimeikuta Twitter ta BeeSports na nikajibu hivi;
BeeSport post is not authentic, because no proove that piece of gabbage came from Sofiane Boufal, it should have at least his twitter link or whatever prove.
Mr lembu unachokiongea ni kweli100% lakini kwa vile ni ukweli siku zote ukweli ni wenye kupuiziwa na watu wengi huwa hawapo interested kuusikia.......kama pages zake zote za social media hakuna iko kitu basi huyo si yeye....na hiyo ni utaalam kidogo sana watu wa memes pia huwa wakiutumia

Tuache kueneza chuki mbona nipo Argentina, kwani Argentina wao wanajua kuna black man mmoja huko yupo Africa ni fan watu kuliko hata timu zao za Africa
 
Africa tujipambanie [emoji23]
Tusisubiri kutembelea nyota ya Morocco ambao hawatutambui.


Akina Etoo badala wapambane kujenga timu limetolewa,hasira amemalizia kwa mpiga picha[emoji1787]View attachment 2438389

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

huyu Etoo ni Ovyo kabisa, Anashindwa hata kuchunga heshima yake, tunaishia kuonekana waafrika wote ni wapuuzi kwa wapuuzi wachache kama hawa.
 
Huyo sio mwenzako hapo mezani ana mkataba mnono wa paundi mil 400+ kutoka Saudi
Na anavyojua kuitafuta hela ataenda tu... maana hana cha kupoteza tena! Hii ndoo ya WC anaweza kubeba safari hii na akibeba kashajihakikishia Ballon d'or hata kama amepitia ups and down nyingi hapa katikati
 
Sidhani kama Ni kweli kaongea hivyo, Na kama Ni kweli Basi atambue kwamba No racism in football.
Nasikia sio kweli... kuna jamaa kaniambia hapa. Ni mfuatiliaji sana wa soka na anajua soka. Wanasema skendo tu na kama watu wanaamini wakatafute video-clip wasikilize vizuri alafu waseme alichokiongea. Tusitunge maneno jamani tukazua gumzo na chuki... Waafrika ni wamoja na timu tuliyobakiza hiyo tuipe nguvu ituheshimishe na ituletee matunda ya soka.
 
[emoji1173][emoji1173][emoji1173][emoji1173]

Wao wanasema hivi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa mbwaaa bora wangetolewa tyuuh, wa Africa acheni shobo kwa Waarabu.

Wamewakataaaaaaaa!!!!! View attachment 2438364
Mchumba hajasema... sikiliza interview youtube ukahahakishe mwenyewe. Watu wametunga kwa sababu zao binafsi, inawezekana ni haohao wazungu wamefanya hivyo kujua nini wanatafuta ili wapate.
 
Atatoka Argentina ila France yupo mpk mwisho na ndo mwenye kombe
 
Wewe unasema wenzetu,wao hawakuoni kama mwenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
hata rekodi za FIFA zinatambua kuwa timu moja ya Afrika/Morocco imeingia robo fainali kombe la dunia 2022.

usiji nyanyapae wewe mwenyewe, inaonekana huwa unaogopa sana ngozi nyeupe, jiamini mzee, morocco ni waafrika wenzetu acha ubaguzi.
 
Wala sikuwa Spain.Ila mimi si muislam wala mwarabu,wala morocco ngoja niwe team Portugal wasio na udini.
Nilikuwa nawakubali sana hawa morocco ila kwa kauli zao za kibaguzi na kidini naona ni wapuuzi tuu naombea wapigwe hata saba kwa sifuri na ureno
 
naendelea kuwakumbusha tu kwamba kaeni kwenye huu mkeka hapa
👇
IMG_20221207_121858.jpg
 
Frence ukimtoa mbappe. Unabaki na giroud, griezman, na dembele hakuna timu hapo ya kuchukua world cup
 
Vita dhidi Kati ya wapinga ushonga na watetezi imehama na sasa imekuja udini kifuatacho sijui ni kituo kipi...
 
Back
Top Bottom