Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Mkuu una uhakika xenophobia kule SA haipigiwi kelele maana kule SA wanaobaguliwa siyo waarabu tuWanabaguliwa na kufukuzwa kule South Africa ila huwasikii kulaumu kua Wasouth ni wabaguzi! hapa issue yao au chuki zao ni chuki ya udini tu wala sio Uarabu.
Huwa unafuatilia vyanzo vipi vya habari au wakibaguliwa wengine ni sawa ila wakibaguliwa waarabu kosa
Wewe kila kitu kinachowahusu waarabu huwa unaingiza udini kwani uislam ni dini ya waarabu sheikh
Sababu naona wakristo wazungu wakitukanwa wala hawajihami kuwa eti ni ukristo ndiyo unatukanwa
Achaneni na hii inferiority complex ninyi wazee wa haqi vipi bana mbona hamjiamini asee
Sent using Jamii Forums mobile app