Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa.
Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa unakaribiana sana. Elon Musk pia ni rafiki mkubwa na anauhusudu utawala wa Javier na alikopi sehemu kubwa ya za DOGE kutoka kwake.
Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa unakaribiana sana. Elon Musk pia ni rafiki mkubwa na anauhusudu utawala wa Javier na alikopi sehemu kubwa ya za DOGE kutoka kwake.