Are you invited?

Are you invited?

Niko invited na nalipa mpunga mapema kabisaa anayewaza kufanya kazungurukee ameula wa chuya.
Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Baby si unaenda ile nchi jamani! Wivu gani huo una ahirisha safari? Loooooh! Basi wife will be next! Miss Neddy im still watching you! Kwa jicho la pembeni!
 
Mmhhhh Mtambuzi
Hao hapo wadudu gani mbona ka jongoo
Hahaha
Wapi fast jet???
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa! Ushaaaaaaanza! Umejuaje ni dhahabu? Tena ishia hapo hapo! Mi nawashangaa nilacho mkubwa wenu na nyie madogo hiko hiko mnakitakaaa! Loooooooh! Haya ulikwa unachonga sanaa kwa mgiriki nimekuachia, hukuridhikaaa, ukaja kwa mgosi wa kaya, haya nae nakuacha sasa ila ulivo na roho ya korosho na usivo na haya unataka uje unibane hadi huku kwa Graffiti? Loooh! Kama kupe!

hahahaha lol mi mgriki walaaaa ana wenyewe
ila graffit gafla vin vuuu si bure kuna ulaji hapo nakujua sana
 
hahahaha lol mi mgriki walaaaa ana wenyewe
ila graffit gafla vin vuuu si bure kuna ulaji hapo nakujua sana
Hahahaaaaaa! Kwa taarifa yako MKOPO tu! Si unajua mechi za kirafiki tangia lini zikawa na kiingilio? Hahaaaaaa!
 
Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Baby si unaenda ile nchi jamani! Wivu gani huo una ahirisha safari? Loooooh! Basi wife will be next! Miss Neddy im still watching you! Kwa jicho la pembeni!

Usijari siyo issue naweza kuomba company ya mpwa wangu Heaven on Earth......

Ila ukumbuke kauli mbiu ya Zanzibar ni mapinduzii daimaa.
 
Last edited by a moderator:
Usijari siyo issue naweza kuomba company ya mpwa wangu Heaven on Earth......

Ila ukumbuke kauli mbiu ya Zanzibar ni mapinduzii daimaa.

Hahahaaaaaa! Hii ndoa hii hatriii! Aaaaah! Mi sina hiyana bwanaaaa! Kwani sabuni useme itaishaaa? We nenda tu mpwa wetu HOE, ila ajue tu CHAKUAZIMA AKISITIRI MAKALIO! Hahaaaaa!
 
Kaizer na team B, we will proceed according to plans! No deviations, no flactuations! FOCUS BOYS FOCUS! Huku nishaweka Nash equilibrium mshindwe wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
na huo mguu unafanya nini hapo kwa kiti hiyo picha ya chakula?
 
kuna steak na chicken au sato....maana mimi m-bara hao wadudu hapo juu not richabo kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom