Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
Hapo zamani za kale kulikuwa na kijiji Fulani, kilikuwa kizuri sana kwa kuishi isipokuwa tatizo hakukuwa na majim ya uhakika mpaka mvua inaponyesha.
Hili kutatua tatizo hili wazee wakijiji waliitisha kikao na kuazimia kutafuta mzabuni atakayekuwa akikipatia maji kijiji kila siku.
Watu wawili walipatikana kufanya kazi hii na wazee wa kijiji waliamua kuwa zabuni hii wote wawili. wakiamini kuwa ushindani utaweka bei kuwa chini na uhakika wa maji kijijini.
Swali, Je wajenga mtandao wa mabomba au watuta ndoo za maji??