Are you building a pipeline or hauling buckets??

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Hapo zamani za kale kulikuwa na kijiji Fulani, kilikuwa kizuri sana kwa kuishi isipokuwa tatizo hakukuwa na majim ya uhakika mpaka mvua inaponyesha.
Hili kutatua tatizo hili wazee wakijiji waliitisha kikao na kuazimia kutafuta mzabuni atakayekuwa akikipatia maji kijiji kila siku.
Watu wawili walipatikana kufanya kazi hii na wazee wa kijiji waliamua kuwa zabuni hii wote wawili. wakiamini kuwa ushindani utaweka bei kuwa chini na uhakika wa maji kijijini.
Swali, Je wajenga mtandao wa mabomba au watuta ndoo za maji??
 
haya nasi tukajenge bomba la GNLD,Tianshe,forever living and of-course yours truly DECI in Tanzania

Mkuu, kwa jibu lako hili waonesha huna ufahamu wa kile ulichoandika, pengine ni vitu umekuwa ukivisikia nawe ukakariri na sasa waandika pasi kufanya ka-research kidogo, muda uliotumia kuandika ungetumia ku-google search kimoja-kimoja ya hivyo ulivyoandika, ungepa jibu tofauti na bila shaka ungetoa a very constructive contribution or criticism, anyway, its not too late, you can do it even now.

Have a blessed day.
 
Back
Top Bottom