April Fools

Status
Not open for further replies.

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Kwa watumiaji wa Voda/TiGO/Zain/Zantel/TTCL; leo mtapata nafasi ya kupiga simu bure kuanzia saa 00:00-00:30 hrs kwenda namba yeyote ile mahali popote pale duniani! Ukisoma tangazo hili mwarifu na mwenzio!

***Don't miss your chance!
 
Janja ya nyani kwisa gundua... kula ndisi peke yake
 
kufulia maana yake ni kuishiwa fedha (kuchacha) japo watu wanaitumia kwa matumizi mbalimbali lakini maana halisi ni hiyo
 
Sasa wee Pape ndio nini hivyoo, mi nakuuliza wewe unacheka...! Utafulia ndio kitu gani hichoo?

X-Paster,
Unaishi dunia gani wewe, hujuwi hata maana ya "kufulia"? Kiswahili kinakua kila kukicha rafiki yangu.
 
kufulia maana yake ni kuishiwa fedha (kuchacha) japo watu wanaitumia kwa matumizi mbalimbali lakini maana halisi ni hiyo

Wakati mwingine wanamaanisha "utachemsha". Ila kwa kawaida ni kama ulivyosema hapo juu inahusiana zaidi na kuishiwa pesa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom