April Fools

Status
Not open for further replies.
Mods, p'se move all these jokes to their rightfull place; si wanasema inaisha saa sita mchana?
 
Tetesi nilizosikia muda si mreafu ni kuwa Zitto Kabwe ahamia CCM. Sina uhakika na hili na wenye additional information watueleze.

Naona ipo thnread ingine...
Mwingine huyoo amepatikana. Leo ni sikukuu ya wajinga, ambayo mimi naiita siku ya MIZAHA NA UONGO DUNIANI.
 
Ningekuwa Moderator post za zinazohusiana na siku ya wajinga ningeziondoa mara moja. Maana sasa badala ya kusoma mambo ya maana tunasoma huu upuuzi wa siku ya leo. Ngoja nisaini auti kwa muda.
 
JF inatangaza zawadi ya pasaka Tsh, 30,000/= kwa wale wote waliojisajiri kwa majina yanayoanzia na herufi M, mf mlenge nk, wasilianeni na invisible kwa maelekezo zaidi.
 
Nina wasiwasi na hii siku ya wajinga, ila tuvute muda.

NACHUKIA SANA MNAPOTULETEA UJINGA HUMU KWA KISINGIZIO CHA SIKU YA WAJINGA!!!! GRRHHGG%%&#@@

Hakuna wajinga miongoni mwa Great Thinker! PSE!!!!!!!!
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kujitoa kwenye Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), kwa vile imeona hakuna mantiki ya kuingia kwenye muungano mwingine wa nchi tano, kabla ya kutatua matatizo ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Taarifa hiyo ya serikali ambayo gazeti hili lina nakala yake imesema "kwa kuwa muungano wa EAC ni wa nchi tano, kuondoka kwa nchi moja hakutawazuia wale wengine wa nchi nne kuendelea na muungano huo".

Wachambuzi wa mambo wanasema kujitoa kwa Tanzania kumetokana na kuzinduka kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala tanzania, ambacho majuzi kilifanya mkutano mahususi kujadili hatima ya Jamhuri ya Tanzania kwenye muungano wa EAC, kwamba Tanzania ina rasilmali nyingi na haina haja ya kujiunga na EAC.

"Ushirikiano wa kikanda si lazima uwe EAC, sisi tuko SADC. Wenzetu wako IGAD. Zote hizo ni taasisi za ushirika wa kikanda, sehemu ya taarifa inasema.

SOURCE: http://www.jamboleo.co.tz

Huo ujinga bakieni nao wenyewe, msiulete kwetu mwe!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom