Hakuna kitu kama hicho hapa TanzaniaNi chizi peke yake ndo anaweza ona kuna amani ila nikuambie tu hii nchi ni ya moto sana ....yaaan siku ikiwaka hakuna wa kuizima mpaka wananchi wakiona wao wamerizika ndo itapoa...na ni uchizo na utahira kupongezana wakati unatawala kwa ubabe na mabavu
Sawa Kwa hiyo ulitaka awaache vibaka mfaidike kuiba ? Najuwa hamuwezi kumpenda ameharibu dili zenuMavi matupu!
Umeshinda kwa 98%
Ila umetoa nje mpaka vifaru ili kuzima maandamano ya raia?
Hahaha jamani huyu bibi mtamuua kwa presha
ongea bila kuliaNi chizi peke yake ndo anaweza ona kuna amani ila nikuambie tu hii nchi ni ya moto sana ....yaaan siku ikiwaka hakuna wa kuizima mpaka wananchi wakiona wao wamerizika ndo itapoa...na ni uchizo na utahira kupongezana wakati unatawala kwa ubabe na mabavu
na wahalifu tu kama KalamuWatz mko mnapenda ugomvi.
View attachment 3513680
Wametishiwa tu wameanza kuachia ushuzi na muharo juu! π.Watz mko mnapenda ugomvi.
View attachment 3513680
Dili za kuteka na kufira, ama deal za kujaza kura fake kwenye mabox ya kura?Sawa Kwa hiyo ulitaka awaache vibaka mfaidike kuiba ? Najuwa hamuwezi kumpenda ameharibu dili zenu
Tishio Moja tu sungusungu (mnaowaita JWTZ) wakajazana barabara na vifaa vyote vya ulinzi dhidi ya vijana wa 2000 π.kwahio leo ulikua unachoma comments au sio
π€£ π€£