Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!
Nikucheck wapi ili unipe hizo link mkuu?
 
Toka nimeijua telegram mwaka 2014 sijawahi kujutia, group linaweza kuwa updated hadi kuwa members zaid ya 8,000. Na hata ukifuta app ukija kuirudisha mambo yako yanarudi yote.
Kweli mkuu, iko poa sana. Wengi wataiponda sasa sababu ya Mange, lakini ni nzuri sana. Naitumia sana kudownload movies na nyimbo.
 
Kwani inausalama gani hadi usikamatwe wakati unatumia net kama wasap
Ukiwa na Telegram n ngumu kukamatwa make pale kuna setting ambz wawez zuia kupigiw simu pitia Telegram, Kulock app, na mengne kibao...

Hadi taifa la Russia wamesanda make walishndwa kuucontrol km Mitandao mingine,,,,
 
Usalama wake ukoje kwenye kukamatwa kama Facebook, si unajua uruhusiwi kupiga nyimbo zisizo za kusifu na kuabudu.
Kule hadi X videos zipo, HAKUNA KUKAMATWA LABDA UWE BOYA NA MWENYE TAMAA ZA KIPUUZI
 
Kweli mkuu, iko poa sana. Wengi wataiponda sasa sababu ya Mange, lakini ni nzuri sana. Naitumia sana kudownload movies na nyimbo.
Wanaoiponda hawaijui telegram hata kama mtu kakutumia vitu ukavifuta kwenye simu una uwezo wa kuingia na kuvipata tena ile app haina mfano kwa uwezo wake
 
Baada ya dada yenu kuwaambia mjiunge huko ili msikamatwe
Vijana wa Lumumba na nyie bhanaaa !! Yaan kla jambo mnaisi ni matayarisho ya 26? Hat ambaye hausik na na huo ujinga wa 26 bado mnazan anataka kuandaa mpango wa 26? Ebu tudscuss ya maana mud mwngne aisee,, tufanye siasa iwe kama simba na yanga utan mwngi na sio uadui mpka kuchukiana kwa sabab ya siasa
 
Wanajiona wako smart kumbe hovyo kabisa..
Baada ya dada yenu kuwaambia mjiunge huko ili msikamatwe
Kiukweli Telegram ikopoa sana, mnaweza kushare aina yoyote ya file bila kujali size, channels kibao za movie na series, vitabu nk. Hayo ya dada yenuhayo mtayajua nyie. Mtoa mada yuko sahihi na hii mada kaweka sehemu sahihi. Msilete michangio ya kisiasa kwenye jukwaa la tech.
 
Mnajishtukia!Nyinyi kama kweli mko ngangali basi subirini maumivu...
 
Mi mbona hizo links nikitaka kujoin group zinaanfika MUTE nikiclik hiyo MUTE inaandika UNMUTE sasa sijaelewa
 
Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!
Nakubakiana na wewe kwenye swala zima la channel za Telegram, ukipata channel nzur utajifunza mengi na ku enjoy vitu vingi
 
Back
Top Bottom