Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,509
Hizo channel wajiungaje? Nilishawahi kuwa na hio app kuna mtu aliomba nijiunge nayo akawa ana broadcast mikeka. Sikuielewa sana after sometime nikaifutilia mbali. Binafsi naiona iko complex kueleweka kwa naive people.
Whatsapp usumbufu ni kwenye verification tu. Baada ya hapo ni bata tu. Haina complication za kiduanzi.
Whatsapp usumbufu ni kwenye verification tu. Baada ya hapo ni bata tu. Haina complication za kiduanzi.
zNakubakiana na wewe kwenye swala zima la channel za Telegram, ukipata channel nzur utajifunza mengi na ku enjoy vitu vingi