Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Wameifungia kwa vile wamekataa kutoka encryption keys, hizi keys wanazo kwa vile hawatumii end to end encryption, Apps kama WhatsApp na Signal zinatumia end to end encryption kwa hiyo hata hizo keys hawana na hawana uwezo wa kumpa mtu yoyote.
Keys za WhatsApp zipo kwenye simu za mtumiaji tu, hivyo serikali yoyote hawawezi kuzipata kutoka kwa kampuni.
hivi nikitaka kupata group za telegram Kwaku search nifanye je
 
Back
Top Bottom