Kiwembe 0
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 536
- 605
Je nikianua kupiga picha chat kwa simu nyingine itagoma ?Mkuu telegram ni habari nyingine bwanaa wana option moja inaitwa secret chat 1.ni end-to-end encryption, 2.haiachi trace ktk server zao, 3.ina self destractive timer yaani kila baada ya sekunde 7 ujumbe ulioutuma unajifuta wenyewe, 4.chengine hairuhusu kufowadi ujumbe. 5.Balaa lengine ukiingia kwenye hiyo secret chat hadi screenshot inagoma. yaani hawaruhusu hata screenshot. Jioone mwenyewe kwenye picha hizi
Free Movies