Application ya telegram ni nzuri kuliko whatsapp

Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!

Nipe chimbo la Novels, Movies,books mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Telegram na WhatsApp zote ni best but unatumia kulingana na mtumiaji mwenyewe unataka kuitumia kwa matumizi au sababu gani.
 
Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila kuungwa kuna channels na groups za kila kitu like movies,music,books,sport vitu vyoooote!WhatsApp sijaona kuizidi telegram!Download leo kisha nicheck nikupe links za Channels!Wazee wa Novels kuna chimbo moja huko hatari!
Yess.
Mambo VIP mkuu..tupia hapa link hizo..tafadhali !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom