mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
mm ndo chumbo langu maana nakuwaga huru kuitumia maana najua hakuna hack anaesogeza pua mitaa hio labda uwe mzembe tu kubonyeza kila link na picha hivyo
Kwani inausalama gani hadi usikamatwe wakati unatumia net kama wasapBaada ya dada yenu kuwaambia mjiunge huko ili msikamatwe
Usalama wake ukoje kwenye kukamatwa kama Facebook, si unajua uruhusiwi kupiga nyimbo zisizo za kusifu na kuabudu.Telegram iko vizuri kwakweli.
Sio rahisi telegram ina usalama zaidi kuliko whatsappUsalama wake ukoje kwenye kukamatwa kama Facebook, si unajua uruhusiwi kupiga nyimbo zisizo za kusifu na kuabudu.
HAYA BONYEZA HII LINK YA CHANNELS MBALIMBALI ZA TELEGRAM!USHINDWE WEWE TU.....NB.hakuna channel ya 26/4
Telegram Channels Catalog: explore full collection of Telegram channels available
Telegram Channels Catalog: explore full collection of Telegram channels available
mm ndo chumbo langu maana nakuwaga huru kuitumia maana najua hakuna hack anaesogeza pua mitaa hio labda uwe mzembe tu kubonyeza kila link na picha hivyo
nomaUtume Link Mzee!!Maana Mapunguani wanawaza eti telegram kwa Matumizi ya 26/4

Sawa!Kama App Ya Telegram Unayo Basi Bonyeza Link Iyo Hapo Nilopost ikifunguka utaona Channels/Groups mbalimbali kisha chagua unayopenda kama Ni movies au Music au free apps kisha Jiunge uanze kuenjoyMkuu asante kwa elimu. Nimebonyeza link nimefanikiwa mpaka ku download. Mimi mbumbumbu mzungu wa reli. Naomba unielimishe jinsi ya kuitumia. Samahani lakini.
Yule wa mtwara aliesema wamewakamata wa Wasap na telegram ilikuwa kiki au alimaanishaSio rahisi telegram ina usalama zaidi kuliko whatsapp
Nimesikia Russia kwamba walishindwa kuingilia mfumo wa telegram hivyo wakapiga marufuku utumike nchini kwao japo sina uhakika na habari hii, yule wa mtwara hata sikumuelewa juu ya telegram labda alisahau kusema instagramYule wa mtwara aliesema wamewakamata wa Wasap na telegram ilikuwa kiki au alimaanisha
Shida hapo kwy kujiunga. Kuna arrow ya add lakini ukiibonyeza inafunguka kwy browser alafu inafail - page not foundSawa!Kama App Ya Telegram Unayo Basi Bonyeza Link Iyo Hapo Nilopost ikifunguka utaona Channels/Groups mbalimbali kisha chagua unayopenda kama Ni movies au Music au free apps kisha Jiunge uanze kuenjoy
Pole!Kama una telegram app nitafute kwa jina la mwanaginingi nikutumie linksShida hapo kwy kujiunga. Kuna arrow ya add lakini ukiibonyeza inafunguka kwy browser alafu inafail - page not found
Safi mkuuuuAll software and games
Kibraline
KUNA WATU WANAPATA SHIDA PINDI WAKIMALIZA KUPAKUA MOVIES KUTOKA TELEGRAM YAANI ANAIPAKUA HAUIONI... SASA NJIA HII HAPA
Kama unatumia TELEGRAM X INGIA INTERNAL STORAGE KISHA ANGALIA FOLDER YA ANDROID DATA kishaangalia Folder ime
All software and games
Asante Mkuu. Mpaka sasa sijalala. Nainjoi "kichizi". Nataka inisaidie kufundisha.Sawa!Kama App Ya Telegram Unayo Basi Bonyeza Link Iyo Hapo Nilopost ikifunguka utaona Channels/Groups mbalimbali kisha chagua unayopenda kama Ni movies au Music au free apps kisha Jiunge uanze kuenjoy
Pamoja sana mzeeeAsante Mkuu. Mpaka sasa sijalala. Nainjoi "kichizi". Nataka inisaidie kufundisha.