Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
MUNGU wanguNiifute ya nini sasa, au ndio wewe huitambui iliongezwa na simu?![]()






Kafute ,ntaambia watu Nini mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU wanguNiifute ya nini sasa, au ndio wewe huitambui iliongezwa na simu?![]()






Dah! Basi mimi huwa naenjoy kishenzi kufungua hizi pagesMimi nimeshawai kudowload app ya jamiiForum mara mbili na mara zote nilijikuta nazi uninstall, maana haikunivutia kutumia kabisa kwa kweli, kitu kimoja tu nilichokipenda ni kutokuwa na page number, una scroll tu.
DahHahah! Siunamuona sasa anasema eti nikafute post niliyomquote maana ile emoj yeye haitambui












Ni kweli started thread haipo ila hapo hapo kwenye posting unaweza kuziona sema ndiyo hivyo zimechanganyika na comment
😂😂😂😂 daahHivi hapa picha za camera zote sizioni
Zile zote za maparachichi imagine
Napambana kuzisaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaniqotue kule Basidaah



Hahah! Utaambia sio wewe ni simu







aki ya Nani
Hadi niitafute tena post sio leo 😀Kaniqotue kule Basi
Kabati liliongezea
Tangu lini Mimi natumia hizo emoj
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo unamwambia Ni Mambo ya umri?Ni mambo ya umri tu![]()
..Heri waninyonge kuliko kutumia browserMimi application for life kwa kweli, browser kwangu ni ngumu sana aise.
Yaani kuliko nitumie browser ni bora niache tu kabisa kutumia JF, app ndiyo kila kitu.

Yani we jamaaBasi web ndio jiko la gesi na app ni jiko la mkaa, nimeona malalamiko ya app ndio mengi kuliko ya browser









Hivi hii emoj ya mwisho ulikusudia kuiweka au imeongezwa tu na simu bila wewe kujua?![]()
Hiyo hapoHadi niitafute tena post sio leo![]()


Teh teh, huko kwenu hata uweke ile emoji ya
Au akikufurahisha unatu haina haja ya kumquote, ila kama wenyewe hawana hizi options sasa tukudislike post zao kule kwao wanaambiwa umefanya nini au inageuka like?

huku kwetu inatuambia umelike na inahesabika kwenye likes hayo mengine utajua mwenyewe 
sisi hayatuhusu.Mei mosiYani we jamaa
Are you Serious right now ??
Yani unasema Kabisa App ni kama jiko la mkaa, Kwaiy jiko la Mkaa Limegunduliwa baada ya jiko ya Gesi ??
Mimi kwa kurefresh kwang tuu nimecover process zako Wewe kibao.Wewe Ukitaka
Update ya Majukwaa yote lazima uende kwenye Options kitufe cha mistari mitatu utapelekwa haya mambo
-New threads
-your threads
-Theads with your Posts
-Unanswered threads
Tena inabidi Urudie rudie process ili upate(u-update) New threads Huku Mimi nafresh tuu
Wazee hembu imagine unasoma uzi wa kimasihara pages kama 1.5k Wewe wa browser sijui utafanyaje kufanikisha hilo sitak kujua
Mimi Wa App nascroll tuu mpaka ntakapochoka Mwenyewe, I can find number pages easy too zimejiandika (1- 10,20-30 nk) sio lazima niandike namba kama huko
Bwana Weee App is Simplified form of web Browser ni vile tuu iko na Deficiency zake
Inaonekana tuu Logically App is the best siwez bishana tena We ngoja ikamilike uone
![]()

