Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Bora niende juani kwa miguu na kurudi au nihame kabisa sayari, kuliko kutumia browser.Ni bora nipambane na ligi zile za nyenyere Kama 10 hivi kwenye nyuzi zake kuliko kutumia browser
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!Bora niende juani kwa miguu na kurudi au nihame kabisa sayari, kuliko kutumia browser.





Tutakutana tuShauri yako utamkosa ostaz

Woyooo kumbe mei mosi tunaletewa kitu kipya, ngoja nikae mkao wa kula.Umeona eeh?
Wanacompications kwa vitu ambavyo hata si vya muhimu
Sijui love,
Sijui hahaha
Eti mkuu hivi vina maanani gani
May mosi Melo anaachia kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umemamaliza kila kitu, hizo deficiency ndio kero kwetu, may be waboreshe zaidi.Bwana Weee App is Simplified form of web Browser ni vile tuu iko na Deficiency zake
Eti Mara dislikeWoyooo kumbe mei mosi tunaletewa kitu kipya, ngoja nikae mkao wa kula.
Hayo ya Love sijui Haha kwa kweli hayana umuhimu, mambo ni mengi muda mchache.
)Kwamba umri unakuwashia taa ya kijani kutumia App![]()



kwa kweli kwa uzee huu nafikiri app ndiyo inanifaa



Endi vaisi vesa izi turuukwa kweli kwa uzee huu nafikiri app ndiyo inanifaa
Hivi Yule uliyemsema kwenye Uzi wa mnazareth kwamba alikuimbisha mashairi Ni yupi?
Sent using Jamii Forums mobile app





yatakushinda, mwenzio nilikuwa nachangamsha genge tu pale.Hahah!
Mimi nilisema nakwenda tatu kavu kukamata wingu kuliko kutumia browser
Sent using Jamii Forums mobile app



mie nitakwenda sitini kavu, lakini browser hapana.Heeeyatakushinda, mwenzio nilikuwa nachangamsha genge tu pale.

Can't wait for the coming updateUmeona eeh?
Wanacompications kwa vitu ambavyo hata si vya muhimu
Sijui love,
Sijui hahaha
Eti mkuu hivi vina maanani gani
May mosi Melo anaachia kitu
Sent using Jamii Forums mobile app

@Lizarazu angekuwepo angesema mna vizabinazabina nyiemie nitakwenda sitini kavu, lakini browser hapana.







