Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

View attachment 1425217
Mbona ipo kama hivyo, kama kuna mtu huwezi kumuangalia jua ni yeye kazuia watu wasimpekue hata kwenye app hutoweza kumcheki.
Kusubscribe tread huku kinaitwa watch thread, ukiwatch utakuwa unapata notification

Hapo utaona posts alizopost, ila huwezi kuona threads alizoanzisha.

Hiyo option wameiondoa kwenye browser. "Started Threads"
 
Mimi nimeshawai kudowload app ya jamiiForum mara mbili na mara zote nilijikuta nazi uninstall, maana haikunivutia kutumia kabisa kwa kweli, kitu kimoja tu nilichokipenda ni kutokuwa na page number, una scroll tu.
 
Back
Top Bottom