Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Yani we jamaa
Are you Serious right now ??
Yani unasema Kabisa App ni kama jiko la mkaa, Kwaiy jiko la Mkaa Limegunduliwa baada ya jiko ya Gesi ??
Mimi kwa kurefresh kwang tuu nimecover process zako Wewe kibao.Wewe Ukitaka
Update ya Majukwaa yote lazima uende kwenye Options kitufe cha mistari mitatu utapelekwa haya mambo
-New threads
-your threads
-Theads with your Posts
-Unanswered threads
Tena inabidi Urudie rudie process ili upate(u-update) New threads Huku Mimi nafresh tuu

Wazee hembu imagine unasoma uzi wa kimasihara pages kama 1.5k Wewe wa browser sijui utafanyaje kufanikisha hilo sitak kujua
Mimi Wa App nascroll tuu mpaka ntakapochoka Mwenyewe, I can find number pages easy too zimejiandika (1- 10,20-30 nk) sio lazima niandike namba kama huko

Bwana Weee App is Simplified form of web Browser ni vile tuu iko na Deficiency zake

Inaonekana tuu Logically App is the best siwez bishana tena We ngoja ikamilike uone
asante
 
Kumbe ni tarehe hvi recent Ooohky
.
Ninyi Ma-web Browser hatuta-taka wageni kwenye New Updated App muendelee na kubrowse (keep browsing guys )

I like Complexity lakini sio kwa vtu ambavo havinijengi
Umeona eeh?
Wanacompications kwa vitu ambavyo hata si vya muhimu

Sijui love,
Sijui hahaha
Eti mkuu hivi vina maanani gani

May mosi Melo anaachia kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom