



HaaHuyo anatumia App sababu ya umri wake tu![]()
?Khaaa!



MniwacheWaaah!
Yaani wewe hatuna msaada na wewe tena![]()





Niqwotue tafadhaliHivi hii emoj ya mwisho ulikusudia kuiweka au imeongezwa tu na simu bila wewe kujua?![]()


Hivi hapa picha za camera zote sizionieti picha huwa zinakuja na kupotea yaani ni mambo ya ajabu sana

eeh! Nikajiuliza huyu yupo kwenye forum gani tena, kwanza maandishi makubwa kishenzi














Ni kweli started thread haipo ila hapo hapo kwenye posting unaweza kuziona sema ndiyo hivyo zimechanganyika na commentHapo utaona posts alizopost, ila huwezi kuona threads alizoanzisha.
Hiyo option wameiondoa kwenye browser. "Started Threads"
KwendaaaApp huwa inakuja na kupotea![]()





