atleast sasa tuwasifie kwa kuamua kuiga wengine wanachofanya.huwezi ukajidai miaka yote kwamba wewe ni mzee wa premium products tu, hutoi za makapuku.Samsung, huwaei na oneplus wamewakalia pabaya wazee wa apple hata ubunifu umeisha kabisa, simu hiyo ni basic sana kwa huu mzigo wa pesa.
Mkuu kwenye simu kitu muhimu kabisa ni soc, hii ndio inadetermine vitu kama
atleast sasa tuwasifie kwa kuamua kuiga wengine wanachofanya.huwezi ukajidai miaka yote kwamba wewe ni mzee wa premium products tu,hutoi za makapuku.
wenzie wana masimu kibao,mengine yanakaa charge sio kawaida,yeye akomae na ujinga hajipendi!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mwingine biashara zake zinategemea simu kuanzia social networks mpaka kuwasiliana na wateja mara kwa mara.Wanaolalamika kuhusu chaji ni wale wanaishi kwa shemeji I canโt imagine siku nyingine mtu unakuwa busy hata kupokea Simu ama kujibu sms mtu unashindwa halafu uje uniambie berti ni ndogo sana
Sent using IPhone X
OnePlus huwezi kupata kwa laki nane labda toleo la miaka mitano iliyopitalaki nane sibora nikaanguka na fupa la A71 hata kwa kuongeza pesa kidogo? laki nane kabetri ka ujazo huo na hako kascreen waakti kuna akina one+ huko unapata unachotaka?
kuna mwingine biashara zake zinategemea simu kuanzia social networks mpaka kuwasiliana na wateja mara kwa mara.
Chukua oneplus 8 pro mkuu๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธOnePlus huwezi kupata kwa laki nane labda toleo la miaka mitano iliyopita
Mkuu nyingi mno, mfano online freelancer kwenye mtandao kama upwork inakulazimu muda mwingi uwe mtandaoni.Biashara gani mkuu ya umbea kushinda Instagram masaa 12?kwahiyo utakuwa online unamsubiria mteja?
Sent using IPhone X
Kama hayo ndio maisha yako upo busy hadi unashindwa kupokea simu why utoe milioni kununua simu?Wanaolalamika kuhusu chaji ni wale wanaishi kwa shemeji I canโt imagine siku nyingine mtu unakuwa busy hata kupokea Simu ama kujibu sms mtu unashindwa halafu uje uniambie berti ni ndogo sana
Sent using IPhone X
Kwa simu za 2020 even zile budget flagship za kichina zinacost hela nyingi, mfano oneplus ya bei rahisi zaidi ni $699 mwaka huu, hata K30 pro ni $425, hivyo hii simu ni rahisi kushinda Budget flagship za Kichina.Mkuu ukitoa hiyo soc vitu vingine vyote ni kawaida sana sana!! $399 kwa muundo huo wa simu yenye LCD ni wizi!
Pia hata design ni poor!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha si ndo hapo sasaThey cant be serious! Eti betri ni 1821 mAh? Hivi hawa Apple wanataka turudi zama za Power Bank au? Watu wanacheza na 4000+ mAh eti mtu arudi nyuma tena -3000. Watanunuliana wenyewe.
Au subilia Motorola edge plus tarehe 22 wanatoa mzigo unaweza kushindana na Samsung s20 na oneplus 8 seriesChukua oneplus 8 pro mkuu๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ