Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

Wanaolalamika kuhusu chaji ni wale wanaishi kwa shemeji I can’t imagine siku nyingine mtu unakuwa busy hata kupokea Simu ama kujibu sms mtu unashindwa halafu uje uniambie berti ni ndogo sana


Sent using IPhone X
Kwenye Keynote ya Apple ya iphone 11....Fans wa Apple walikua wanashangilia kuongezeka kwa battery capacity ya simu hizi...wewe unakuja hapa kutuchanganyia habari.

Samsung Galaxy
 
Kwa simu za 2020 even zile budget flagship za kichina zinacost hela nyingi, mfano oneplus ya bei rahisi zaidi ni $699 mwaka huu, hata K30 pro ni $425, hivyo hii simu ni rahisi kushinda Budget flagship za Kichina.

Hivyo mkuu japo unadowngrade display na battery life ila unapata mambo mengine mazuri zaidi.

Kwa fans wa ios inawafaa hasa dada zetu huku waache kupigwa refurb za iphone 7/8/xr/x/xs
Kweli Apple kawin kwa suala la budget phone kuwa na IP certificate...wireless charging..premium looking...powerful Soc...sidhani kama kuna midranges iko vzuri kuliko hii ukitoa hiyo display...phone size na large bezels.

Samsung Galaxy
 
Mkuu design pia ni tatizo hivi seriously mtu aache kununua Xs achukue SE? Serious?
Kwa simu za 2020 even zile budget flagship za kichina zinacost hela nyingi, mfano oneplus ya bei rahisi zaidi ni $699 mwaka huu, hata K30 pro ni $425, hivyo hii simu ni rahisi kushinda Budget flagship za Kichina.

Hivyo mkuu japo unadowngrade display na battery life ila unapata mambo mengine mazuri zaidi.

Kwa fans wa ios inawafaa hasa dada zetu huku waache kupigwa refurb za iphone 7/8/xr/x/xs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Market Segmentation..., kwa wanunuzi wa hizo mambo kwao bei sio tatizo tena huenda bei ikiwa Cheap Apple wakawapoteza...
 
Kuweka record sawa , hii si mara ya kwanza Apple kutoa “cheap” product kwa specs kubwa . SE1 ilikuwa ni zaidi ya iPhone 6 na 6 plus na waliuza kwa 400 usd , kwa wanaokumbuka iPhone XR (one of the best selling mpaka sasa) iPhone 5c Pia ilikuwa cheap ikifuatia kwa 5s . Hapo sijaongelea ipads za mtindo huo .

Huu mtindo wa hizi products za namna hii upo muda mrefu na huwa wanatoa March (mwaka huu imekuwa april sababu ya corona)

Nachoona hapa ni watu kutojua vitu na kuleta habari za hisia hisia.

Kwa wale mnaodhani iPhone 8 ni laki 7 sijui iPhone 7 ni laki nane, hizo bei ni zile simu mnaita full box, yaan refurbished na kwa uzoefu wangu ndo zimejaa mjini , hizi refurb zinaonekana mpya machoni kwa mtu asiyeijua iPhone mpya, zinaisha sana charge kwa sababu zimetumika pamoja na Accesories zake Kama earphones ni za kuokoteza tu siyo zile Apple original (Unahitaji kuijua EarPods original kuweza kutambua hizo Cm kwamba siyo og).

iPhone ina battery capacity ndogo lakini ni moja ya cm zinakaa sana na charge(siongelei iPhone refurb) hii ni kwa Sababu ya balance nzuri kati ya hardware na software yake iOS. Kwa Bahati mbaya TZ tunatumia refurb ndo maana tunaona iphone zinaisha charge na screen zinakuwa inferior , very few wananunua mpya Ml city, very few.

Turudi kwenye mada,kwa ujumla iphone SE 2 huwezi ilinganisha na iPhone 8 au 8 plus. Kwa mbali labda IPhone X, lakini A13 Bionic si mchezo, flagship kibao zinasanda kwa hiyo processor na hii ni assurance ya continued support kama tunavyoona iphone SE1 bado inapata update lakini 6 na 6 plus hazipati “processor inachangia)

Kuhusu design yaani kutokuwa na notch, FaceID si tatizo kwa sababu Kuwa watu bado wanapenda fingerprint na Bezel phone (hapa naangalia iPhone 8 ilivyotoka na mauzo yake yalikuwa juu na hapo IPhone X ilikuwepo)

Conclusion: It’s a superb phone kwa kuzingatia combination iliyofanyika. Price ,Processor ,camera , software, wireless charging, fingerprint, na support ya muda mrefu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu huwezi leta muonekano wa simu za 2017 mwaka huu 2020!!

Yaani kakioo ka 4.7 plus bezels ndo mtu uisifie seriously?

Wengi tulidhani angekuja na budget phone yenye design ya kisasa! island,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila iphone 5c ilikuwa kimeo, 8gb hata ku update simu ilikuwa shinda. Se ya kwanza ilikuwa nzuri hata mimi niliipenda.

5c ilikuja na choice ya 8,16 na 32 gb . Mteja alikuwa na machaguo. Ni kweli kwamba 8 gb ni ndogo, lakini fikiria kwamba kuna watu walizinunua 5c 8gb , je hawa walilazimishwa? Hapana issue hapa ni budget na willingness au mapenzi ya mtu.

Apple waliliona hilo hata 16 gb ni ndogo hasa ukiwaza hili kwa miaka ya hivi karibuni but watu wengi sana wana iPhone 6 na 6s na zina 16 gb by the way iPhone 6 model ndo most sold smartphone.

Hapa chagua linabaki kwa mteja provided kwamba mambo mengine tunayaweka constant. Zamani cm zenye sd card zilionekana dili , kwa sasa hazina issue ,gb 128 kwako inaweza Kuwa kubwa sana kwa mwingine ni challenge ...!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaolalamika kuhusu chaji ni wale wanaishi kwa shemeji I can’t imagine siku nyingine mtu unakuwa busy hata kupokea Simu ama kujibu sms mtu unashindwa halafu uje uniambie berti ni ndogo sana


Sent using IPhone X
Uzuri wa JF kila mtu ni tajiri level za MO na hakuna anayeishi kwa shemeji yake.
 
Mkuu huwezi leta muonekano wa simu za 2017 mwaka huu 2020!!

Yaani kakioo ka 4.7 plus bezels ndo mtu uisifie seriously?

Wengi tulidhani angekuja na budget phone yenye design ya kisasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Muonekano wa kisiasa una maanisha nini? Hiyo kisasa yako unaitolea wapi? Au hao wenye makampuni ndo wanakuamulia kipi kiwe cha kisasa na kipi kisiwe cha kisasa. Ukisema 4.7 siyo kisasa niambie kisasa ni kioo size ngapi , yan maximum?

Kukupa tu mfano mdogo iPhone 8 ni 4.7 na imeuza sana tu na hapo hapo iPhone X ilikuwepo na iPhone 8 Plus ilikuwepo lakini bado kuna mtu anachagua 8 ya 4.7, tena anaangalia zote mbili anasema hapendi masimu makubwa (most of them ni ladies)
Uzuri wa Apple wana optimize simu zao zote tena specifically kwa moja moja kwa hivyo apps zinafanya kazi kama inavyotakiwa regardless of the size

Suala la bezels unaona ni tatizo ? Nikwambie tu hilo ni tatizo kwako na si kwa kila mtu , fuatilia simu zilizouza sana last year utakuta simu zenye bezel zinaendelea kuuza, after all Apple hawawezi price hiyo cm at 400 usd alafu waiwekee Face ID , kumbuka hamna kampuni yoyote mpaka sasa imekaribia tech ya FaceID, wengi wameishia kuweka tu front camera pekee kwa ajiri ya face unlock, tena zikiwemo kampuni kubwa kama Samsung. Sasa kitu kama hicho ni ngumu kuweka kwenye simu ya dola 400.

Wewe kama unapenda kioo kikubwa na FaceID iPhone 11 Pro Max ipo at 1099 usd, ni pesa yako tu, hamna mtu anakulazimisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usd 399 ni sawana takriban TSh 917,000/= laki tisa na elf kumi na saba..
Hivi hio ni simu ya bei ndogo??
 
Usd 399 ni sawana takriban TSh 917,000/= laki tisa na elf kumi na saba..
Hivi hio ni simu ya bei ndogo??
Hio ni budget highend/flagship

Kuna simu ni lowend, midrange, upper midrange, highend etc.

Unaweza ukauziwa lowend 300,000 ukaona bei rahisi na ukauziwa highend laki 9 ukaona ghali, ila kiuhalisia highend laki 9 umeipata bei rahisi na lowend laki 3 inawezekana umepigwa.
 
Back
Top Bottom