Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,223
- 14,936
Mzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP๐๐๐๐ usiogope hiloUnazungumziaje battery capacity inaonekana ni ndogo sana then inatumia most powerful Soc in the market...?
Samsung Galaxy[emoji93]