Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kama hayo ndio maisha yako upo busy hadi unashindwa kupokea simu why utoe milioni kununua simu?
Ni kwasababu huna uwezo wa kunipangia kutumia kile nilichozalisha kwa jasho langu
Sent using IPhone X
na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu 






low quality