Mimi..namiliki laptop Aina ya HP..lakini navyovijua humo Ni vichache sanaaa... yaani Mambo ya technology nipo nyyma Sana.Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibiiya dukani
ndio maisha yetu wabongo,wala usishangee kukuta hata wenye vifaa vitatu tu vilivyo vya apple ni wa kuhesabu.Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibiiya dukani
Galaxy a01Yani katika discussion ninazofeli Basi ni discussion ya cm. Anyway Nina laki 2 na nusu nataka simu nzuri with good quality camera na storage kubwa. Nishaurini kesho niifate
mtz one
Mimi..namiliki laptop Aina ya HP..lakini navyovijua humo Ni vichache sanaaa... yaani Mambo ya technology nipo nyyma Sana.
Kwanza kwenye kununua simu hua naangalia camera..na Inavyong'ara..TUhuna tofauti na mwenye simu yenye 512gb hajui aweke nini.
Kwanza kwenye kununua simu hua naangalia camera..na Inavyong'ara..TU
.... Niko backwards technologicaly
Its a dated design hawa jamaa wabadilike sasa. Haya wale matozi wa makumbusho msimu wa hela huu5G is coming with iphone 12.
Ceramic shield dispaly that goes beyond glass.
A14 bionic processor.
Camera: 12 mp.
View attachment 1599078View attachment 1599079View attachment 1599082
View attachment 1599109
We hautaki trends za kimjini mjiniAisee mnaoenda na fashion kazi hiyo
Hahahah Makumbusho ni SBT au BeFoward wa iPhones. Wacha tujikongoje na refurbs zetuwale wa iPhone 6s za Makumbusho mambo niaje,tutafika 12 pro mwaka 2028
Mkuu nimecheka sana nilikuwa nawaza hawa iSheep ni akina nani ila nilipo decrypt imeniacha na kicheko. Umekuwa very factual na wenye mahaba na bidhaa za tufaa 😂😂😂 kimsingi ni misukule tu kama wale wa Gwajiboy tofauti yao hawa wanalipishwa hela ndefu kama ada kila mwisho wa mwaka.Yaani isheep wao apple akisema hiki hakitaki au hakiweki basi na wao wanasema apple hajaweka sio cha muhimu.
Isheep apple akiwaambia this time mpigwe mashine watatugawia sana makalio bure kwa sababu apple kasema.
Chochote atakachokisema apple wao wanakipokea kama kilivyo. Apple akisema 5G sio ya muhimu isheep wote wanakubali, kesho akisema ni muhimu wote wanakubali.
Hivi hizi simu mbona hawaweki battery capacity? Sioni RAM, sioni 120hz display.
Mwakani Apple ataongeza tu 120 display na RAM kidogo tu halafu atawapiga bei kondoo wake na wao wanachekelea.
Leo anawaambia hatoi charger kwa sababu ya kimazingira lakini anasema ukiihitaji unaweza kununua. Kwamba ukinunua seperate huharibu mazingira ila ikija na simu inaharibu mazingira na makondoo yanachekelea tu. Halafu watu kama hao wanawacheka waumini wa mzee wa upako au wa Gwajima.
Wana software nzuri ya ku exploit hardwares in full efficiency. Hapa ndipo uchawi ulipo.Hawa jamaa bhana camera zao huwa wanafanyaje? utakuta 12mp camera kali kuliko 108mp za simu zingne naelewa somo la mega pixels...ila wao huwa wanafabyaje nauliza
Chaja unanunua separatelyKwamba simu inauzwa bila charger? Sasa utachajia nini?
Hahaha...Na vifremu vyao walivyovidesign kwa mbao kwa ndani..Hahahah Makumbusho ni SBT au BeFoward wa iPhones. Wacha tujikongoje na refurbs zetu
Hata google pixel zinawekeza zaidi kwenye softwares.MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
mi najua ubora wa picha mkubwa ni details.MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
All the time apple wanazingua.Oooh Asante mkuu ila kwa opinions za watu online naona Kama apple this time wamechemsha
Fremu kali ndani simu 3 tu ndio mpya zingine zote refurbs halafu wanauza laki 8!Hahaha...Na vifremu vyao walivyovidesign kwa mbao kwa ndani..
Hahahah hawa wanaendesha kampuni nje ya succession plan. Nadhani yale alioyoacha Jobs walisha execute sasa wanapambana kwa akili zao wao. Ndio maana simu inageuzwa geuzwa design na camera positioning na kuuzwa aghali na kondoo zinanunua kila mwaka.Siku nyingi sana nimewasoma maana hizi iPhone 12 ilibidi zitoke mapema ila corona imezichelewesha. Hawa iPhone wameyumba ila ndo hivo tiyari wana wateja wa kudumu
Aaah kmmkhutaki kumfulia boyfriend wako nguo... Eti kisa hamjafunga ndoa!
Una akili timamu?
Ndo mnipe technique za kuchagua Simu jamanisasa kosa unalofanya ndio hilo,hamna camera isiyongara nakwambia.