Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,622
- 5,250
Mzee hii ukidownload tu inakueleza kua simu simu imechajiwa mara ngapi na imewekwa chaja mara ngapi? Je akuna apps kama hio kwa android zote, mfano xiaomi ili nijifunze hili kuepuka kupigwaKuna possibility kubwa kupata refurb ukinunua hapa kwetu ama chanell za kichina kama Aliexpress, Gearbest etc.
Ngumu kuijua simu refurbished mpaka uishike mkononi, ukiwa nayo mkononi unaweza angalia
1. Model yake kama ni simu ililokiwa na mitandao ya simu ya nje ama ni international version G960F ama G960F/DS ni international, zilizobakia sio za hapa kwetu. Na njia ya uhakika kujua model ya simu yako ni kuingia download mode.
2. Pia zipo apps nyingi zinazoangalia data za simu yako mfano ni mara ngapi headphone imechomekwa, mara ngapi charger imechomekwa etc mfano wa hizi apps ni kama samsung info. Hivyo mtu akikwambia brand new open box lakini ukicheki imeshakuwa charged mara 500 ujue hapo unapigwa mchana kweupe.
Xiaomi wana App yao inaitwa Mi verification kama sijakosea inakupa details muhimu.Mzee hii ukidownload tu inakueleza kua simu simu imechajiwa mara ngapi na imewekwa chaja mara ngapi? Je akuna apps kama hio kwa android zote, mfano xiaomi ili nijifunze hili kuepuka kupigwa
Naipata mi apps au google play store hii niitestXiaomi wana App yao inaitwa Mi verification kama sijakosea inakupa details muhimu.
Na mara nyingi simu za China hazina refurbished sana, hasa xiaomi sababu mitandao ya Simu hwauzi hizi simu kwa mikataba.
wale wa iPhone 6s za Makumbusho mambo niaje,tutafika 12 pro mwaka 2028
Hata iphone sasa hivi wameathirika simu zinauza sana kwao ni SE na iphone 11 (zote ni chini ya Dola 700) hizo ni bei za midrange siku hizi. Zile za bei za juu kama pro na max haziuzi tena kama zamani.
Tumefikia AGe ambayo kwenye midrange mtu wa kawaida anapata kila kitu kuanzia display nzuri,perfomance na hata camera.
Ofcoz bado ni gimmick.
Nchi yenye coverage kubwa ya 5G ni S. Korea tu.
Hata huko US sehemu kubwa sana haina hiyo 5G.
Huku bongo inaweza chukua hata miaka mitatu kujwa kwa 5G.
Nadhani makampuni ya simu yanatoa simu za 5G kupata feedback ya performance kutokana na simu wanazozitengeneza.
nimemsikiliza marques brownlee anasema hivi pia.
kwamba uzuri wa iphones ni kwamba inaweza kaa kwenye chart 2-4 yrs,so unaweza nunua leo iphone 12 si kwa ajiri ya 5g,ila 5g ikaja kukukuta mbeleni huko.
so apple kapika utumbo kama wengine,ila kwake utumbo utakuwa mtamu sababu ana nazi tu,tofauti na wengine.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ina uwezo wa kutumia SD card? Au mule mule?
ah we jamaa na hili tamanio lako huwa unaniacha hoi sana[emoji23][emoji23].
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
All the time apple wanazingua.
Kwasababu wanalinganishwa na smartphone zingine ambazo zimeshatoka.
Na ni mara nyingi apple wapo notorious sana kujaza features zote ambazo watu wametegemea ziwepo.
Mfano; binafsi nilitegemea waweke 120Hz refresh rate, waweke usb type c. Ila hawajaweka.
Na kama ni high speed?SD card!? Minimum storage ni 128GB, then 256GB na 512GB na bado unataka sd card ambayo huenda ikapunguza perfance ya simu kama sio ya high speed sd card
Samsung kuwa the best lazima atengeneze OS yake ndo itamfanya apate chart sawa na apple.No one is perfect lakini kuna vitu lazima tuwe serious, Galaxy fold ni mfano mzuri sana wa junk. Iris scanner ni junk feature yaan mambo ni mengi. Lakini haiondoi ukweli kwamba samsung ni one of the best
Samsung kuwa the best lazima atengeneze OS yake ndo itamfanya apate chart sawa na apple.
Kudandia android hakumtofautishi na techno au infinix.
Hata one plus kampuni ndogo wanatoa vyuma kwa bei nzuri tu kuliko hao samsung.
US haijafika hata 30%. Imewekwa kwenye miji mikubwa nako ni baadhi ya maeneo na mji mzima.
Labda miaka mitatu ijayo.
5G sio about speed, na hata ukiipata hio speed kuna storage gani kwenye simu kuhandle multi GB kwenye simu kwa sekunde? ikikazana sana labda ni around 500MB/s. hivyo ukipata 1GB/s ama 10GB/s ama 5GB/s ni useless kwenye simu hakuna bandwidth ya kutosha kuhandle hio speed.5G bado sana . Hata iliyowekwa hai click kwenye speed yenyewe ya 5G labda kutokee innovation mpya ya usambazaji wa 5G
nafkiri store yao miNaipata mi apps au google play store hii niitest
iPhone wapo kuwaibia wateja wao hakuna jipaya hata moja.