Apple Iphone 12 is finally here

Si kweli.
 
True multitasking, Android inaruhusu apps kurun background wakati iphone hairuhusu true multitasking.

Kuna baadhi ya Skin za Android kama Oxygen ya oneplus yenyewe inaruhusu kwa muda tu.
 
Unazungumzia Huawei gani ? Kuna hizi Y6 halafu kuna P na Mate Series.
 
labda Y360 sio P40 pro +

Soma uzi vizuri , Android zote zina matatizo hayo tena ni matatizo ya msingi kabisa na Android phone manufacturers wanayajua Sema wameamua kuachana nayo. Kifupi hawataki kufanya uwekezaji wa muda mrefu, mipango yao ni mifupi mifupi ukitaka kujua hilo angalia face unlock ya huawei zote na Samsung ni majanga matupu. Angalia consistence ya baadhi ya vitu kwenye simu zao Yan wameamua ku ignore au ku take advantage ya wateja wasiojua. Si ajabu simu zao kushuka thamani sana ndani ya muda mfupi
 
Sijaona hilo tatizo kwenye P 20 pro yangu tangu ninunue 2018.
 
We jamaa unaidiss samsung😂😂😂
Kweli???
Samsung ships junk???
 
We jamaa unaidiss samsung

Kweli???
Samsung ships junk???

No one is perfect lakini kuna vitu lazima tuwe serious, Galaxy fold ni mfano mzuri sana wa junk. Iris scanner ni junk feature yaan mambo ni mengi. Lakini haiondoi ukweli kwamba samsung ni one of the best
 
Vipi ipad fold ambazo zinajikunja zenyewe?
 
Vipi ipad fold ambazo zinajikunja zenyewe?

Hamna ipad fold mkuu, ipad yoyote ukii stress kwa force kama kuikalia inajikunja, na kuikalia siyo sehem ya matumizi. Kusema inajikunja yenyewe ni ushabiki tu
 
Unakumbuka 2017 wakati nawaambia kuhusu face id, ukawa unasema itafeli ? Sasa unasemaje ? Umebadili msimamo au msimamo wako uko pale pale ?
 
Hamna ipad fold mkuu, ipad yoyote ukii stress kwa force kama kuikalia inajikunja, na kuikalia siyo sehem ya matumizi. Kusema inajikunja yenyewe ni ushabiki tu
Vipi zinazokuja out of box zimejikunja na kwanini tablets nyengine haziji hivyo?
 
Unakumbuka 2017 wakati nawaambia kuhusu face id, ukawa unasema itafeli ? Sasa unasemaje ? Umebadili msimamo au msimamo wako uko pale pale ?
Mimi? Unaweza weka ushahidi?

Ubishi wangu baina yangu na wewe nilisema face id sio enterprise grade security na wewe ukasema dunia hii haku exist security kali kama hio, nikakupa mifano kibao watu wakicheza nayo kama toy.

Weka ushahidi wa maneno yako.
 
Nakubali mkuu
Apple face Id ina senci gizan totoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…