mkuu hiyo ndio emonj bora ya wakati wote kutoka samsung.Whether iwe low au mid na hata high end zinaishia kuwa junk phones ingawa kuna utofauti. Chukua mfano galaxy fold simu ya dola 2000. Kampuni ina focus kwenye hardware inasahau software matokeo yake mteja anakutana na experience mbaya, applications haziko optimized ku take advantage ya hardware , app ziko stretched up ku fit screen bila kujali ubora na hiki kitu kiliua tab za android. Kumbuka software ndo Kila kitu. Mwisho product inaishia kuwa junk maana haiwezi ku deliver. Nimekupa mfano mdogo kama una android yoyote fungua sms (siyo whatsap) angalia emoji zilinganishe na emoji hata za iPhone 5s utashangaa utakachokiona. Mambo kama haya ndo yanampa advantage Apple. Kwa maana nyingine simu inferior maana yake ni unakuta Simu ina Iris scanner , face scanner fingerprint Kwa wakati mmoja ila zote hazifanyi kazi vizuri ila Apple wao wameweka moja tu either Touch ID au Face ID na iko perfect (does what it is supposed to do)
Huwezi amini app za google kama YouTube na gmail zinafanya kazi vizuri kwenye iPhone kuliko simu zao wenyewe, Samsung ana manufacture processor ya Apple inakuwa faster kuliko wanazotumia wao, X ina display nzuri kuliko cm za Samsung (Kwa mwaka huo) lakini hiyo display imetoka Samsung. Sony anatengeneza camera kali za iPhone kuliko simu zake mwenyewe. Kwa hii mifano michache unaweza kuona kati ya wateja wa Apple na wa cm nyingine nani wanachezewa akili.
mkuu hiyo ndio emonj bora ya wakati wote kutoka samsung.
swala hapa kuhusu yoote uliyoandika,wa kulaumiwa na kuonekana ni mzembe kuliko wote ni pixel kutoka google.
anauza bidhaa zake bei juu wakati ameshindwa kuzi optimize ziendane na software anayoimiliki yeye mwenyewe,hawa wengine tutawaonea bure..View attachment 1601205
ah tena hapa ndio umeharibu, nikajua ungelinganisha na zile za 3d kidogo atleast,hizi za apple hazijabeba uwasilishaji kamili wa hisia zaidi ya ujumbe pekee.
Bado Apple ananunua Oled kwa Samsung mwaka huu baada ya Oled za BOE kufeli test za Apple...hata Samsung alitaka atumie Oled za BOE kwenye A series mwaka huu ila zikafeli test pia za Samsung so wanaendelea na Oled zao.Iphone wananunua hizo amoled kwa samsung sasa wameamua safari hii wasimpe dili
Watu wanna Visa jamani..Huku kwenye iPhone nakufua nguo Kuna uhusiano gani.[emoji3][emoji3][emoji3]
Suala la industry kuwa saturated limeathili kila mtu , point yangu ni kwenye high end phones ambapo Apple anawakimbiza competitors, tena sana. Muda si muda itakuwa kama kwenye tablets ambapo sasa ni Kama Apple kabaki peke yake. Haya hayaji bahati mbaya. Competitors wamekosa consistency sokoni devices zao Hazina support na haziendani na kile wanachokitangaza, kifupi ni common products
Kipindi cha iPhone X niliwaambia kuhusu Face ID mkawa wabishi Kwa kuilinganisha na window hello na Iris scanner ya Samsung , kilichotokea wote tumekiona. Tumejua nani anafanya utani na nani yuko serious.! Wakati wengine wanakimbizana na ram na megapixel sijui zoom Sasa LiDAR imeingia kwenye iPhone, game inabadilika muda si mrefu. Alafu mtu anajiuliza Kwa nini Apple wanauza sana anaishia kuleta ngonjera za isheep sijui vitu gani havina hata maana. Kuna siku nilisema wote tunatakiwa kujifunza Kwa Apple Kwa kile wanachokifanya
Kulikuwa na kipindi Apple anauza Tablets zaidi ya Milioni 20 kwa miezi 3 siku hizi hata milioni 10 kuuza ni Shida. Hivyo japo Ipad zinaongoza kimauzo ila zinauzika chache zaidi na mauzo yake yanashuka compare na miaka 5 ama 10 iliopita. Siku hizi hata hawareport tena ni kiasi gani wameuza units wise jinsi mauzo yalivyo madogo.
Na point Yangu mimi ni Selling price, imefikia wakati Apple wamekuwa maarufu kwa simu za $399 ujue tena uking wa Highend unaondoka huo.
Na hata sasa hivi ukienda Gsmarena iphone 12 mini ina attract interests kushinda iphone zote zilizozinduliwa sababu ni bei rahisi zaidi japo haina features nzuri kuliko wenzake.
hapana mkuu hii tabia ya kuhamisha magoli huwa siielewi kabisaa.
hakuna bidhaa imferior,kuna bidhaa ya gharama ndogo.wacha basi niulize sababu ya iphone 12 min kuanizia $690???
sisi hatuna shaka na apple,ila tuna mashaka na nyinyi wasemaji wao,hamuachi akiba ya neno.hizi ni biashara tu chochote kinawezekana.
Whether iwe low au mid na hata high end zinaishia kuwa junk phones ingawa kuna utofauti. Chukua mfano galaxy fold simu ya dola 2000. Kampuni ina focus kwenye hardware inasahau software matokeo yake mteja anakutana na experience mbaya, applications haziko optimized ku take advantage ya hardware , app ziko stretched up ku fit screen bila kujali ubora na hiki kitu kiliua tab za android. Kumbuka software ndo Kila kitu. Mwisho product inaishia kuwa junk maana haiwezi ku deliver. Nimekupa mfano mdogo kama una android yoyote fungua sms (siyo whatsap) angalia emoji zilinganishe na emoji hata za iPhone 5s utashangaa utakachokiona. Mambo kama haya ndo yanampa advantage Apple. Kwa maana nyingine simu inferior maana yake ni unakuta Simu ina Iris scanner , face scanner fingerprint Kwa wakati mmoja ila zote hazifanyi kazi vizuri ila Apple wao wameweka moja tu either Touch ID au Face ID na iko perfect (does what it is supposed to do)
Huwezi amini app za google kama YouTube na gmail zinafanya kazi vizuri kwenye iPhone kuliko simu zao wenyewe, Samsung ana manufacture processor ya Apple inakuwa faster kuliko wanazotumia wao, X ina display nzuri kuliko cm za Samsung (Kwa mwaka huo) lakini hiyo display imetoka Samsung. Sony anatengeneza camera kali za iPhone kuliko simu zake mwenyewe. Kwa hii mifano michache unaweza kuona kati ya wateja wa Apple na wa cm nyingine nani wanachezewa akili.
samsung tokea s1,ndio utaratibu wake huo.Mkuu wakati samsung wanatoa s20 ilikua bei juu ya iphone 11 pro max ila now?? Imeshuka bei sana imeshindwa kuwa consistent kwenye market kama iphone11 pro max promax bado price inarange 2.6-3m. Apple wako vzr sana mkuu
hapo ishu ni OS(hardware na software kwa pamoja).android inayumba sana.[emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa upo nondo agiza jack daniel ntalipia. Nilikua sijui about sony kuproduce camera za iphone vip kuhusu display za iphone12 nani katengeneza now
hiyo simu haitavuka 1.6m bongo,japo se 2 ilienda mpaka 1.9mMzee hio $699 no tax hapo sasa iship bongo ndo utajua hujui[emoji28][emoji28][emoji28]
samsung tokea s1,ndio utaratibu wake huo.
hata hii note 20 ultra imeipita bei iphone 12pro max.ila baada ya miezi 8 mpaka 9 tu utakuta samsung imeshashuka sana kuipisha mpya.
so wiki kadhaa tutarajie 12 kuingia sokoni na bei mpya,hivyo 11 pro max itarudi mpaka 1.8,sijui 11 pro,11 ,xr,xe na xs max zitakalia wapi???ukiachana na x na nduguze wakiwa wanahangaika kwenye laki 8 huko chini.
kikubwa samsung wanakupa uhakika wa maika 2 tu baada ya happ bro,changia kampuni.
hiyo simu haitavuka 1.6m bongo.
hata 11 pro max ilikuwa 3.4Tajir unajua s20 ultra bei yake now??[emoji28][emoji28]
huu umbuzi,ndio huwa unafanya baada ya miezi mitatu mtu unajutia papara zako za kiwahi simu mpya.Tax hapo times2 ya hio price kuna shipping cost mtu hajaweka profit bado hio itapaa mpakaa 2.3 huko we subir
1. S20 haijawahi kuwa juu ya pro max usichanganye s20 na s20 ultra.Mkuu wakati samsung wanatoa s20 ilikua bei juu ya iphone 11 pro max ila now?? Imeshuka bei sana imeshindwa kuwa consistent kwenye market kama iphone11 pro max promax bado price inarange 2.6-3m. Apple wako vzr sana mkuu
mkuu ..nna pesa nyngi sana za mzeeHuna hela
Mwanaume unaangalia simu emoj? Uko serious kweli mwanaume unalilia emoj?Samsung
Sony
Huawei
Oppo
Tecno
Infinix . Hizi ni kampuni zinakuuzia simu ya laki nane unakuta hata camera focus hazina, no updates , zina stretched applications yan app haziko tailored na model ya simu , security almost zero, inferior housing hazidumu, chukua Samsung fungua sms za kawaida weka emoji ya kucheka au kulia utashangaa hii emoji inacheka au ni nini, sasa kampuni kama Samsung wanaweka emoji hazieleweki graphics mbovu kabisa unategemea nini, ila wao ni ram na megapixel Matatizo ni mengi sana siku nikipata muda ntaelezea hapa .