Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,787
Samsung Galaxy J6 ni simu iliyozinduliwa mwaka 2018, lakini bado inaweza kufanya kazi nyingi za kawaida mwaka 2026.
Hii ni simu ambayo imeshapita miaka 8 Toka Kuachiwa kwake lakini mpaka Leo bado simu nzuri sana ya kutumia bado inaweza kufanya kazi nyingi za kila siku hadi leo! ๐ฅ.
๐ Skrini ya Super AMOLED yenye rangi nzuri
๐ธ Kamera ya 13MP kwa picha za kawaida
๐พ Ina nafasi ya kuongeza hifadhi kwa MicroSD
๐ฑ Inafaa kwa simu, ujumbe na matumizi mengine ya msingi.
๐ค Ilikuja na Android version 8.0 ikapokea na Mwisho wake ilikua Android 10.
Lakini kumbuka simu hii Galaxy J6 haipati tena masasisho mapya ya Android, hivyo ina mipaka kwenye usalama na programu za kisasa.
Ebu tuambie bado unatumia simu hii mpaka mwaka huu 2026 ๐ tuachie maoni yako โ๏ธ.
Ebu tags mshikaji anayetumia Samsung ya kitambo mpaka Leo ๐๐