marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 988
Naomba link nidownload na mm hili gameNaona barca kakaza"""hataki Rmadrid ninyanyue kwapa
![]()
![]()
Naomba link nidownload na mm hili gameNaona barca kakaza"""hataki Rmadrid ninyanyue kwapa
![]()
![]()
FTS 18 Ultimate HD Mod Apk Data OBB Terbaru For Android | Putraadam.comNaomba link nidownload na mm hili game
Tumia uc browser au browser ya simuUmesema nisitumie opera nitumie nini ambayo itasaidia kufanikisha hii ishu
Mkuu unacheza gemu ngapi kwenye ligi???? Nataka nami niibukie.....nimeanza na uefa nikabeba....Naona barca kakaza"""hataki Rmadrid ninyanyue kwapa
![]()
![]()
Mkuu tayar naomba unielekeze namna ya ku-installShuka chini kabisa baada ya yale mapicha ya gemu.....angalia kwa makini utakuta link mbili zinafuatana....moja ya zip(mb 260+) na nyingine ya apk(mb 67) download zote hizo mbili( usitumie opera)
Ngoja mtu wa green aje...Mkuu tayar naomba unielekeze namna ya ku-install
Mdau hii link mbona ni malicious
Link inaweza kuua simu hii
38 mkuu me naenda taratibu tuMkuu unacheza gemu ngapi kwenye ligi???? Nataka nami niibukie.....nimeanza na uefa nikabeba....
Duuh me nimetumia chrome itakua inakubali kwelNgoja mtu wa green aje...
Tumia vyovvyote vile ilimuradi faili liingie..Duuh me nimetumia chrome itakua inakubali kwel
Jaribu browser ya simu.Alafu mkuu kila nikitumia uc browser inadownload kidg then linaandika sever problem
Duh!!!! Nyingi sana hizo ......si ntachoka!!!!!38 mkuu me naenda taratibu tu
Sema unacheza tournaments nyingine mkuuDuh!!!! Nyingi sana hizo ......si ntachoka!!!!!
Nachezaga uefa...Sema unacheza tournaments nyingine mkuu
Mbona asisst huna mchezaji mzeeNaona barca kakaza"""hataki Rmadrid ninyanyue kwapa
![]()
![]()
Wapo ila wengi wana 5 3 4 1Mbona asisst huna mchezaji mzee