Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,297
Ili uone utam zaidi hakikisha top score anatoka kwako top assist atoke kwakoWapo ila wengi wana 5 3 4 1
Ball possession uongoze pia
Ili uone utam zaidi hakikisha top score anatoka kwako top assist atoke kwakoWapo ila wengi wana 5 3 4 1
Nina wasiwasi na gemu level yako mkuu....Yaani hawa nimewafunga kwa taaaaabu saaàaana [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 672712View attachment 672713
Jaribu kwenda sehemu network inapokamata sana....Kila nikidownload linanizingua linaandika problem sasa je nitatumia njia gan ambayo naweza download hii game
Nimefanikiwa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] nimeweka ngumu ila nawakimbiza tu au kadri ninavocheza na ugumu unaongezekaJaribu kwenda sehemu network inapokamata sana....
Ntakuwekea screenshot asubuhi!!!
Sema unabutua sana piga pasi 80% uone utamu wa gameYaani hawa nimewafunga kwa taaaaabu saaàaana [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 672712View attachment 672713
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]morning kibosho1Sema unabutua sana piga pasi 80% uone utamu wa game
Morning 2u[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]morning kibosho1
Hamna ka umeweka level high halafu unawakimbiza utawakimbiza tu hivyohivyo milele...Nimefanikiwa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] nimeweka ngumu ila nawakimbiza tu au kadri ninavocheza na ugumu unaongezeka
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hamna ka umeweka level high halafu unawakimbiza utawakimbiza tu hivyohivyo milele...
Hili FTS18 ni game zuri kushinda DLS18. Tatizo limenichosha, lina matches nyingi sanaYaani hawa nimewafunga kwa taaaaabu saaàaana [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 672712View attachment 672713
Ndo tamu sasaHili FTS18 ni game zuri kushinda DLS18. Tatizo limenichosha, lina matches nyingi sana
Halafu zile job offer zinanirudhisha nyuma kila muda. Najikuta siendi mbele. Kuna tatizo nisipoziaccept? Na nifanyeje ili kumanage Team kubwa?Ndo tamu sasa
Hakuna mkuu"""nyingine unaweza kurejectHalafu zile job offer zinanirudhisha nyuma kila muda. Najikuta siendi mbele. Kuna tatizo nisipoziaccept? Na nifanyeje ili kumanage Team kubwa?
Mi ilikuja offer ya asenali....nikaona ipo ya 13 kwenye ligi nikareject....Hakuna mkuu"""nyingine unaweza kureject
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeipandisha daraja mkuu"""mimi ni manager wa NottinghamMi ilikuja offer ya asenali....nikaona ipo ya 13 kwenye ligi nikareject....
Uliendaje huko????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeipandisha daraja mkuu"""mimi ni manager wa Nottingham
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]umewapiga kipigo cha paka mwiziHawa wajinga leo nimewaotea dadeqqq!!!View attachment 673048
Nataka niyanyooshe tena.......ngoja niyaibukie dadeqqq!!![emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]umewapiga kipigo cha paka mwizi