Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,394
- 6,562
Umeweka dk ngapi mkuuNataka niyanyooshe tena.......ngoja niyaibukie dadeqqq!!!![]()
![]()
![]()
Umeweka dk ngapi mkuuNataka niyanyooshe tena.......ngoja niyaibukie dadeqqq!!!![]()
![]()
![]()
Dakika 3 mkuu...Umeweka dk ngapi mkuu
Mdau naomba link iliyo nzuri kwa ajili ya kudownload hili game
Weka dk 2 uone afu hardHawa wajinga leo nimewaotea dadeqqq!!!View attachment 673048
Ndo nimeweka hivyo sasa....,nimewafinya na samagoal....Weka dk 2 uone afu hard
Ahaaàaaa ahaaa ngoja nimpandishe Norwich darajaNdo nimeweka hivyo sasa....,nimewafinya na samagoal....
Nikiweka normal anakula hata kumi na kitu hivi.....
Eeh!!! Ushahama forest???Ahaaàaaa ahaaa ngoja nimpandishe Norwich daraja
Hao ninao kwenye tournamentsEeh!!! Ushahama forest???
Aaah halafu Norwich kwenye manager mode si ndiyo???!Hao ninao kwenye tournaments
Kweli mkuuIla wakuu benzema si ndiyo mshambuliaji hatari zaidi FTS 18???.......wengine angalau wananikosa messi,ronaldo,neymar,Suarez na wengine ila benzema hajawahi kunikosa wakuu halafu linapiga sana Heda iwe Madrid ama ufaransa....cjui limewekewa nn...
Yaani hakosi hata kwa dawa mkuu.... Hata ukimtoa kipa...Kweli mkuu




refa kagongwa shoot
Daaaaah mashoot mawili tu mkuu""""ulielemewa??Dk 90 kila tm short on target 0-0 game ilikua kali sana hii
Mm game yangu kama live vile.. Pass zimenyooka, sipigi butu butu ndo manaDaaaaah mashoot mawili tu mkuu""""ulielemewa??