Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Jamani kati ya dream league na Pes 2018 hipi kali?
Kaulize ulipo peleka mboga
Maswali ya kizushi haya
Unauliza kati ya chungu na sufuria
Kuwa serious
Dream league soccer unacheza kwenye simu nyingi tu hata zenye ram 800mb Android 4.4 nk ila DLS 2018 ukicheza kwenye device ka hiyo itakusumbua
Pes 2018 sanasana ni kwenye PC ila kama ni simu-:
Inatakiwa iwe na ram 8 GB na kuendelea
Free storage inatakiwa iwe 32 GB na kuendelea
Pes 2018 ni kali mno
 
Kaka mbona english premium league kwangu haikubali au mpaka upande levels za juu sana?
Hiyo dream league babu
Hakuna ligi kila timu ina daraja lake unaanza
Academy division
Division 3
Division 2
Division 1
Junior elite division
Elite division
Kila daraja lina timu zake
Timu konkodi za soka zipo elite division asenali,Madrid,man u,barca,juve nk.
Ukishinda hadi level ya elite division ukamaliza top unaenda international level unakutana na national teams ka world cup hivi
Ukishinda unakutana na timu za continental allstars kama timu ya Africa,eastern Europe,western Europe,north America, south America etc
Ukishinda hapo unaenda kukutana na team yenyewe inaitwa First Touch Legendary Team hujui mchezaji hata mmoja ila ni hatari yana nguvu 96,95,97 etc li kipa lake ligumu kufungika
Ukishinda hapo timu yako ndo best team bac unakutana na timu yako mwenyewe
Yaani wachezaji wako walewale kila kitu kilekile labda wanachenji formation; hapa ndo utaelewa
Ukimaliza hapo bac unaanza elite division na unaendelea kama mwanzo
Ila huwezi kufika huko ka hauna pesa ; mm nilihack nikapata pesa za kutosha nikanunua uwanja mkubwa bila uwanja mzur hupandi daraja
Nikanunua best players kama messi,ronaldo nk
It is very fantastic game
Ila bila best players unajisumbua 2
 
Well illustrated!!
 
5c8426178eecde6f9e27734aedd04fa6.jpg
nilikula vipigo nilivyokamata tier ya 5 nikashuka kama kimbunga mpaka ya 7 ndo nipo hapo ila natembeza vichapo vya hatari asante baraka kwa ile formation yako
 
Nataman sana wangeweka adhabu kali kwa mtu anae kimbia dk hazijaisha hasa ambaae unakuta anaongoza mbili au moja dk 45 anakimbia alafu wanampa ushindi...huwa naumia sana na imenisababisha nimeshuka tier kwa ujinga kama huu wa wapinzani wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom