Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

20b855b48ce65718b2910052a8aff42c.jpg

Hack billion coin
Umefanyaje kuzipata hizo coins nielekeze na mimi.maana wachezaji wa viwango vya chini wananitesa sana
 
0f9c0eaa8e62dc41b1fbb6e682cc6d1a.jpg
e0c6bba6cc18df57e0c4db730f91d5ac.jpg

fungua ilo game kuna option ya Customize itakuwa kama hapo juu then click izo logo za league
duh sijui game langu liko tofauti! au ni aina ya simu.maana ukisha andika jina la kocha wanakuletea option ya kuchagua league .nyingine zote zipo ila moja tu ya uingeleza ndo haipo
 
duh sijui game langu liko tofauti! au ni aina ya simu.maana ukisha andika jina la kocha wanakuletea option ya kuchagua league .nyingine zote zipo ila moja tu ya uingeleza ndo haipo
logo ya premier league haipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom