Nilifika tier ya 4 aseee nilikula vipigo vya haja nw nimeshuka mpaka 6#ila sija hack coin na wachezaj niliowajaza kufika mia ni ronaldo na messi wengne uwezo wa kawaida 78 81



hatariii sana hesbone"" jana nimecheza na mtu wachezaji wote nguvu 100 ila nkampa dozi nzito aka quit
hatariii sana hesbone"" jana nimecheza na mtu wachezaji wote nguvu 100 ila nkampa dozi nzito aka quit
![]()
nakubaliana na ww wako watu wamewajaza wachezaj 100 wote kwakuhack coin ila viwango vyao hafifu....ila mi nashindwa kuelewa hivi kuna batan ya kupress kumpiga mtu push aseee maana nafungwa magoli mengi kwa kupigwa push na kunyanganywa mpiraaKweli asee ila mchezaji ukimjaza 100 anakuwa na extra ordinary power"""push anapiga tu mkuu ila mimi nina crouch kila mpira wa kona nyavu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nakubaliana na ww wako watu wamewajaza wachezaj 100 wote kwakuhack coin ila viwango vyao hafifu....ila mi nashindwa kuelewa hivi kuna batan ya kupress kumpiga mtu push aseee maana nafungwa magoli mengi kwa kupigwa push na kunyanganywa mpiraa



4 3 1 2 hapa ni mzee wa counterHahahaha aseee umenifungua akili inabid nifumue kikosi changu mbele nina messi kati nina naingolan kante hawa wote wafupi afuu beki nina bally nina da silvaa wafupi hawa ndo mana kona sifungi inabid directa of football wa timu yangu nimpe adhabu aseee hajui kuselctKweli asee ila mchezaji ukimjaza 100 anakuwa na extra ordinary power"""push anapiga tu mkuu ila mimi nina crouch kila mpira wa kona nyavu4 3 1 2 hapa ni mzee wa counter

Hahahaha aseee umenifungua akili inabid nifumue kikosi changu mbele nina messi kati nina naingolan kante hawa wote wafupi afuu beki nina bally nina da silvaa wafupi hawa ndo mana kona sifungi inabid directa of football wa timu yangu nimpe adhabu aseee hajui kuselct![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()






nouma sanaHahahaha aseee umenifungua akili inabid nifumue kikosi changu mbele nina messi kati nina naingolan kante hawa wote wafupi afuu beki nina bally nina da silvaa wafupi hawa ndo mana kona sifungi inabid directa of football wa timu yangu nimpe adhabu aseee hajui kuselct![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Download "file commander" alafu nenda "android" kipengele cha "data" tafuta sehemu ya dls then futa kifile kimeandikwa "profile.dat". Ukimaliza hapo nenda google pakua hilo file la PROFILE.DAT alafu ukimaliza nenda tena kwenye file commander copy profile.dat nenda kaipaste kwenye sehemu ya android + data alafu ingia kwa game itakua freswakuuu naomben msaada wenu nimebofya bofya nikajikuta narud mwanzo nilipoanzia nilikuwa nataka kuhack coin gafla ndo ikajitokeza hiyo hali...naomben mnipe njia ya kuhack coin ili niweze kuchit fasta nirud kwenye levo niliyokuwepo mwanzo![]()
Nimeingia humo nimechagua link ya jezi za real madrid kwenye kudownload kule kwenye game imeniambia download failedIngia www.kuchalana.com
Wameelekeza na link zipo za kumwaga hadi jezi za simba sc zipo
Nimefata yote mkuu ila hapo mwishon nimefanikiwa kucopy lakin jinsi yakupest nimeshindwaDownload "file commander" alafu nenda "android" kipengele cha "data" tafuta sehemu ya dls then futa kifile kimeandikwa "profile.dat". Ukimaliza hapo nenda google pakua hilo file la PROFILE.DAT alafu ukimaliza nenda tena kwenye file commander copy profile.dat nenda kaipaste kwenye sehemu ya android + data alafu ingia kwa game itakua fres
Basi ukimaliza kucopy move kwenye android files la data dls 18 mkuu na utaona hizo coinsNimefata yote mkuu ila hapo mwishon nimefanikiwa kucopy lakin jinsi yakupest nimeshindwa
Angalia vizuri option ya kukopi au tuma screen shot tuone ulipokwamaNimefata yote mkuu ila hapo mwishon nimefanikiwa kucopy lakin jinsi yakupest nimeshindwa
Poa poa mkuu wewe toa vichapo online mpaka wakimbieCc bengazuu
Cc mtu wa green
Asanten sana wakuu dah hatimaye nimefanikiwa asee tena nashukuru sana ila lililonishangaza nimekuta ni game mtu alolicheza hahahhahah mamechi mengi tu alafu nikajaribu kuresert matokeo yake aloo wakanambia nitarud mwanzo kabisa ikabid niahirishe...
Kifupi nimegundua kumbe nikuendelea pale jamaa alipoishia na rekod zake naziendeleza




Link ianze na http NA kusiwe na nafasi nyuma link ifiti Mbele na nyumaNimeingia humo nimechagua link ya jezi za real madrid kwenye kudownload kule kwenye game imeniambia download failed
Unachezaga na ww??Ulifanyaje ukafanikiwa naletewa huu ujumbe halifunguki



