Ili mradi tu mpira uwe umepiga sehemu aliyopo hata kama ni pass shoot inamfikiaAlafu wakuu nahitaj msaada hivi kwa mfano umempa mchezaj pasi ikatokea ukapress shoot au long pass kwa bahat mbaya je ni kitufe gan ubonyeze kwa haraka ili ubadili lengo la kwanza mfano ubadili shoot iwe pass
Tatizo lipi toxic 9naona wamefanyia kazi swala langu, nimelalamika sana kumbe ni wasikivu sana![]()
Yani nilikua nikicheza game wachezaji wote walikua na rangi moja yani nyeupe hata kutofautisha ilikua ngumu, pitia post zangu hapo juu, ila naona sahivi ni burudaniTatizo lipi toxic 9
Mtu wa gree umesahau hii
kudadeki hii kwangu imekuaje mbona wenge la kutosha dls18 hapana aiseeeh warudishe tu features za dls 17![]()
Nakumbuka asee kumbe wamerekebisha"Mtu wa gree umesahau hii
Alooo mi wangu ni hatari tupuIla game bado speed sio kali inatakiwa wachezaji wawe na kasi ya light
Daaaàah hatariiii umemsahau neymarAlooo mi wangu ni hatari tupu
Speed zaidi ya kimondo "online competition"
Aina ya wachezaji
Mabeki warefu kimo
Viungo saizi ya kati kimo
Washambuliaji mchanganyiko
Formation nzuri
Winger
Bale
Sterling
RONALDO
CF
Makienok
Traole
Colubali
Yana nguvu na speed ya ajabu yakiwa na mpira
Fomeshen gan hyo mkuu maana hapo kwakina bale naona ni viungo afuu afuu wanafata colibaly ma fowad au nimeeelewa tofautAlooo mi wangu ni hatari tupu
Speed zaidi ya kimondo "online competition"
Aina ya wachezaji
Mabeki warefu kimo
Viungo saizi ya kati kimo
Washambuliaji mchanganyiko
Formation nzuri
Winger
Bale
Sterling
RONALDO
CF
Makienok
Traole
Colubali
Yana nguvu na speed ya ajabu yakiwa na mpira
433Fomeshen gan hyo mkuu maana hapo kwakina bale naona ni viungo afuu afuu wanafata colibaly ma fowad au nimeeelewa tofaut
Hii ni 4-1-2-3 mkuuFomeshen gan hyo mkuu maana hapo kwakina bale naona ni viungo afuu afuu wanafata colibaly ma fowad au nimeeelewa tofaut
Kaulize ulipo peleka mboga![]()
![]()
Maswali ya kizushi haya
Unauliza kati ya chungu na sufuria
Kuwa serious
Dream league soccer unacheza kwenye simu nyingi tu hata zenye ram 800mb Android 4.4 nk ila DLS 2018 ukicheza kwenye device ka hiyo itakusumbua
Pes 2018 sanasana ni kwenye PC ila kama ni simu-:
Inatakiwa iwe na ram 8 GB na kuendelea
Free storage inatakiwa iwe 32 GB na kuendelea
Pes 2018 ni kali mno
Umewasahau Sanchez, neymar, modric, bale, mane, david luis, willian teh teh teh wana speed mbayaAlooo mi wangu ni hatari tupu
Speed zaidi ya kimondo "online competition"
Aina ya wachezaji
Mabeki warefu kimo
Viungo saizi ya kati kimo
Washambuliaji mchanganyiko
Formation nzuri
Winger
Bale
Sterling
RONALDO
CF
Makienok
Traole
Colubali
Yana nguvu na speed ya ajabu yakiwa na mpira
Kweli aisee yaani uwanjani hamna makeke utadhan wanacheza wajawazitoIla game bado speed sio kali inatakiwa wachezaji wawe na kasi ya light
Ila kwenye game raha yake muwe mnafungana sio kila siku ushinde wewe......sasa ndugu hicho kikosi uwanjani kweli unampinzani wewe......Alooo mi wangu ni hatari tupu
Speed zaidi ya kimondo "online competition"
Aina ya wachezaji
Mabeki warefu kimo
Viungo saizi ya kati kimo
Washambuliaji mchanganyiko
Formation nzuri
Winger
Bale
Sterling
RONALDO
CF
Makienok
Traole
Colubali
Yana nguvu na speed ya ajabu yakiwa na mpira