Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Duh....mbona dogo hivo... Mimi nnalosema lilikua Na mb 750 fifa lakini halina manjonjo kiivo Hata Mpira unavoanza ni normal wachezaji wanaonekana vizuri pindi wanaposalimiana lakin mpira ukianza unakua wakasi lakini vimidoli uwanja mzima nyasi zimekolea utazani kapeti LA kijani LA sebleni Hata uhalisia wa nyasi haupo alaf ile pssp nayo kama pad lakin hard to contro Hata kama umezoea utakuta umetoa boko bila kukusudia .........
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duh....mbona dogo hivo... Mimi nnalosema lilikua Na mb 750 fifa lakini halina manjonjo kiivo Hata Mpira unavoanza ni normal wachezaji wanaonekana vizuri pindi wanaposalimiana lakin mpira ukianza unakua wakasi lakini vimidoli uwanja mzima nyasi zimekolea utazani kapeti LA kijani LA sebleni Hata uhalisia wa nyasi haupo alaf ile pssp nayo kama pad lakin hard to contro Hata kama umezoea utakuta umetoa boko bila kukusudia .........

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Vipigo[emoji2][emoji2][emoji2]
e8650f807d8d63e6c87c06a523f5ade3.jpg
 
Dah wakuuu nisaidien fomation asee maana nacheza 433 lakin napewa vipigo vya haja mpaka nataman nikimbie online
 
Tumia 4-1-2-3
Weka moderate or defensive kufuatana na team hutajuta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom