Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Haaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Online Kama huja hack kikosi ni sawa na kazi bure[emoji16][emoji16][emoji16]

Utachezea vichapo mpaka useme po[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
49eb2f9a9e87b6dbf139fc5700392de2.jpg


Mi natamba tu mkuu
[emoji23][emoji23] hatariii sana mkuu"""mimi online mechi 200 nimeshinda 130 draw 20 vipigo 50
 
[color_red]huku saiz nimepotean cm yngu nimeibiwa namith sana game hili lakn i will be back soon
 
Hadi sasa nimecheza michezo elfu moja mia tano
Yesu na Maria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimecheza michezo 65 nipo Tier ya 4 na nkmebakiwa na michezo 3 niwe bingwa nije tier 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kufikia michezo 120 ntakua tier 1[emoji119]
 
jamani kama kweli mtu ni mjuzi wa mpira basi cheza pes + ft 2018 acha kabisa nimoto wa kuotea mbali sana
 
Back
Top Bottom