Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,562
Uninstall udaunilod mpyaNaombeni link ya ku update to 2018 nimeupdate kupitia playstore halifunguki.
Uninstall udaunilod mpyaNaombeni link ya ku update to 2018 nimeupdate kupitia playstore halifunguki.
Samata hayupo ila kuna sehem pale unapewa mchezaji umuweke jina unalopenda weweMbona samatta nikimsearch simpati wakuu msaada
Yani mkuu nahangaika mpaka sahivi option ya ku unstall haipoUninstall udaunilod mpya
Mbona ni easy tu mkuuYani mkuu nahangaika mpaka sahivi option ya ku unstall haipo
NielekezeMbona ni easy tu mkuu
Kwani gemu ulidaunilod playstore mkuu? Simu inaspace ya kutosha?Nielekeze
Nilidownload online.Kwani gemu ulidaunilod playstore mkuu? Simu inaspace ya kutosha?
Nikilifungua linaniandikia unfortunately, dream league has stop
Haikubali
Kwahiyo uninstall imegoma??Haikubali
Mkuu hivi huwezi kuinstall kwenye ios mbaka android pekee???
Hiyo unabadili tu mkuuIvi kuna uwzekano wa kubadilisha logo ueke ya Chelsea,man u au barca? Na pia jezi za timu hizo unaweza kuzipata DLS 2018
Ndio. Labda nipate link ya ku update kutoka 2017-2018 may be itafanikiwaKwahiyo uninstall imegoma??
Hapo inabidi download apps nyingine ili aweze update linamo jaribu ile 9apps" aptoide n.k utafanikiwq mkuuNdio. Labda nipate link ya ku update kutoka 2017-2018 may be itafanikiwa