Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Hapo inabidi download apps nyingine ili aweze update linamo jaribu ile 9apps" aptoide n.k utafanikiwq mkuu
Naomba link kama unayo nikiingia uc nashindwa elewa ni ipi hiyo aptoide nimejaribu bila mafanikio
 
Ndio. Labda nipate link ya ku update kutoka 2017-2018 may be itafanikiwa
ingia playstore pale kwenye my apps and games option ya library kuna apps uliziunistall halafu hukuzifuta
6cb0fd5bb800e2f87756d9e920362cfe.jpg

so press iyo x itoe uchafu wote pawe clean kama hivi

acc23401b77148be5994439a67aa0ded.jpg

hapo itakuw tayari so unaweza kudownload games na apps zako vizuri bila shida
 
Mkuu tatizo siyo space.
 
tatizo nn
Nilikuwa nalo la 2017 nikataka niliupdate nikaupdate nikiplay ndo Linaandika "unfortunately, dream league has stop"
Halinipi option ya kuliunstall ili ni install lipya.Nikapata wazo labda nikipata link ya ku update kwenda 2018 Nitafanikiwa maana halifutiki kwenye simu.
 
Ingia youtube mkuu utapata maelezo ya kina
 
Nilikuwa nalo la 2017 nikataka niliupdate nikaupdate nikiplay ndo Linaandika "unfortunately, dream league has stop"
Halinipi option ya kuliunstall ili ni install lipya.Nikapata wazo labda nikipata link ya ku update kwenda 2018 Nitafanikiwa maana halifutiki kwenye simu.
ingia setting kwenye simu then apps unistall hilo game
 
Halionekani huko lakini kwenye screen lipo na nikiingia play store wananiambia ni update niki update halifunguki
ok ingia playstore download apps yyte za unistaller itakusaidia btw unatumia simu gan?
 
Inaniandikia download failed au naomba unipe maelekezo huenda me nakoseaga
usifungue data wakati wa kuinstall

futa zile files zote za com.konamiproduction18 kule kwenye kafoda ka data na obb then extract upya na ufanye kma nilivyokuelekeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom