Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

6f38a1c052e0ac45d5a2eb734e05b853.jpg

DLS18
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Kasi ya mpira imeongezeka DLS18
Ukicheza online hili game la DLS18 unaweza kusahau hadi masaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DLS17 online lilikua lizito balaaa hadi kero

@DLS18[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Mimi ngoja nkomae bila kuhack
Umewahi kucheza online

Mi nilihack baada ya kupigwa 8-0 tier 5 aiseeee kuna watu wanacheza Mpira kule

Sihack hili game nikawapige wakina man u 15-0 ni kwasababu ya online competition na players development[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa naplay na vipii natoa ila ukihack unacheza bila pressure"""namimi ningehack ila simu ni unrooted
 
Back
Top Bottom