Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,951
Nioneshe km umewahi kupata.... top form point... unstopabble point... na iyo no one like
Sent from "La -Vista"
Nioneshe km umewahi kupata.... top form point... unstopabble point... na iyo no one like
Hakuna kawaida hapo.... Hujaona amepewa points embedded with coins.... Unstoppable, top form mpe sifa zake wewe ulishawahi kupata hizo points?
Kumbe umeshamjibu hahahahaha, na mimi nime quote hivyo hivyo alete hizo points...... Inawezekana anafunga magoli mengi ila hajawahi funga all gamesNioneshe km umewahi kupata.... top form point... unstopabble point... na iyo no one like
Sent from "La -Vista"
Me nishapata hizo mkuuKumbe umeshamjibu hahahahaha, na mimi nime quote hivyo hivyo alete hizo points...... Inawezekana anafunga magoli mengi ila hajawahi funga all games
Safi... we kweli ni mdau unafahamu ugumu wa hizi mambo... gud brazaHakuna kawaida hapo.... Hujaona amepewa points embedded with coins.... Unstoppable, top form mpe sifa zake wewe ulishawahi kupata hizo points?
Screenshot haipoMe nishapata hizo mkuu
Iliappear kwenye gemu moja sema sikupiga sikirini shotiScreenshot haipo
Sent from "La -Vista"
Aaah aaah fix wewe itafute teenaIliappear kwenye gemu moja sema sikupiga sikirini shoti
Nawewe leta ingine mkuuAaah aaah fix wewe itafute teena
Sent from "La -Vista"
Nitakuletea usiwaze.... now niko online nawanyoosha watu na itakuwa wa humu alaf mikausho mikaliNawewe leta ingine mkuu
Umetisha
Umetisha kama anko magu
Hatar hyo
Psp nzuri sanaa nna grup flan wanatuma game za psp za kwenye simu achana na dream league soccer mi napend game lenye kuanzia mb 800 ndo hua zuri
pes leo wametangaza pro evolution soccer 2017 inakuja android mwishoni mwa mwezi huu.
![]()
ngoja tuone wazee wa uefa wana nini