Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

nimeona kama wadau hapo juu wanasema version mpya haifanyi kazi na lucky patcher
Nimejaribu check video YouTube wakishamaliza kupatch wanakutana na go to file,wakiclick wanakutana na unstall/install wanabonyeza hapo lakn mm nakutana na maneno yafuatayo

1.install
Nikibonyeza hyo ndo linakuja jibu la error labda ni unstall game ya mwanzo niingiz hii ndo ujumbe unavyosema

2.rebuld

3.install as system App
4.delete this file
5.share the App

ndo maan hapo pananiwia ugumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lazima uipatch wewe mkuu mbona ishawekwa humu ambayo ipo na coins zake nyingi tu. Itafute uipakue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu check video YouTube wakishamaliza kupatch wanakutana na go to file,wakiclick wanakutana na unstall/install wanabonyeza hapo lakn mm nakutana na maneno yafuatayo

1.install
Nikibonyeza hyo ndo linakuja jibu la error labda ni unstall game ya mwanzo niingiz hii ndo ujumbe unavyosema

2.rebuld

3.install as system App
4.delete this file
5.share the App

ndo maan hapo pananiwia ugumu

Sent using Jamii Forums mobile app
na kama umeroot simu achana na lucky patcher jifunze kutumia app za kucheat manual kama gameguardian, sb gamehacker na gamekiller utacheat sio dream league tu, bali almost game zote.
 
Baraka nakusaka nkupgie week
Yaani toka nianze kucheza online sijawahi cheza na wabongo dadeeekiiii
Waarabu
Wasouth Africa
N.k

Wabongo mnaniogopa sio
aba24da7ffbaa39a2ca7f46ad49c4601.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Online Wakuu. Kumbukeni ahadi yangu ya Vocha ya elfu 5 kwa atakaenifunga.

Jina la timu: Cyper Fc

sent by Samson Cyper
 
Jamani mimi mnijuze ile trick ya kipa kutembea na mpira (kipa anakuwa kaudaka mpira halafu badala ya kuupiga anaudosha chini na kuanza kutembea nao)
Nimeiona sana online, je control zipi zinatumika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo trick , unachofanya ni kuurudisha mpira kwa Kipa kisha anatembea nao mpaka anafunga.

Inabidi uwe makini sana Kipa asinyang'anywe mpira. Akinyang'anywa jamaa linapiga shoot la mbali mpaka golini.
 
Mdo mdo bila cheating nimefika elite japo nimepewa za uso dah game tamu sana!!
 
Jamani mimi mnijuze ile trick ya kipa kutembea na mpira (kipa anakuwa kaudaka mpira halafu badala ya kuupiga anaudosha chini na kuanza kutembea nao)
Nimeiona sana online, je control zipi zinatumika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gusa ur touch screen like una swap mpira utadondoka chini kipa ataanza kutembea na mpira balaa lake kipa akinyang'anywa mpira basi ni nyavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom