Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Hivi online DLS17 nachezaga na marobot!!!! Sijawahi bahatika kucheza na mbongo dadekiiii
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nacheza multi player aisee raha sana utamu wa mechi unauona kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wadau mi nimemaliza kila kitu dream soccer... sina mpinzan na cjui cha kufanya...

Nataka niifute nianze upya tu.

Kama juzi nimeletewa point za ajabu ... cjui kama kuna mtu kawahi ona kitu kama hiki hapa..
f5af637284484576dba5acfb8121ca53.jpg


Sent from "La -Vista"
 
Habari wanajamvi na wapenzi wa games

Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
Kiongozi mimi si mtalaam wa hizi computer games. Kama unazo games ambazo zinaweza cheza kwenye window 7 naomba nijuze, nitalipa ghalama zako. Nahitaji kwa ajili ya watoto. Haswa ya mpira kama unayo.
 
Umefananisha braza... la vista fc uipige... 5.
Labda ulikua unacheza mwenyewe...

Naomba game saa ngap tupige ndondo

Sent from "La -Vista"
SAA 2 usiku nitafute[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Team😛an Africanism Fc
Opponent:Barakamsombaissack95


Nshitue kwa namba 0764445965
Niweke heshima humu ndani na jua ya kwamba screen shoot itahusika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAA 2 usiku nitafute[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Team😛an Africanism Fc
Opponent:Barakamsombaissack95


Nshitue kwa namba 0764445965
Niweke heshima humu ndani na jua ya kwamba screen shoot itahusika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila umeona screenshot ya hapo juu...

Sent from "La -Vista"
 
Back
Top Bottom