Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

63ff34aa0439846c89f091879306778f.jpg
00d1043496da303d44117406f3e8e13c.jpg

Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
Pole sana ndugu,jaribu tena,ukikwama nijulishe,
 
63ff34aa0439846c89f091879306778f.jpg
00d1043496da303d44117406f3e8e13c.jpg

Nimekuta ile file ya dls na nkairudisha obb but imenikwamia kuinstall inafanya hv dah ni gundu hili mkuu nimedownload tena playstore nataka nirudie mchakato kwa mara ya mwisho
kwan lazma uchakachue mkuu!!!? cheza hivyo hivyo
 
Kuchakachua chakachua,ni dalili ya Uoga na kuogopa challenges me nipo ELITE DIVISION bila kuchakachua hizo coins
26e4d73ca53c5f8843c6ea3ef946dfea.jpg
Mkuu hii game nimeicheza mpak mwisho yani kwenye ile stage unayocheza na timu yako,ila mm ni mpenzi wa hili game na kwa kifupi ukilizoea inakuwa inaboa kuanza na kina cralk hawana kasi wana nyata ndio maana nlitaka nipate coin za kuchakachua kwa muda mfupi ili niwahi elite nikimbizane na kina ronaldo na kikubwa sipendi kusajiri wenye majina napenda niwe na coin za kumupgrade clark awe na 100 kuanzia kasi mpaka goalleeping ili nipambane na kina messi
 
Sio unapambana na barcelona ila messi,pique,neymer .suarez nk unao ww hapi hakuna radha
 
Imekwama vilevile kaka sasa cjui ni cm au nn
Marudio katika maelekezo ya awali kuna jambo niliruka nenda hatua kwa hatua

1.Anza hivi
Download game la dls na hakikisha linafunguka kabla huja chakachua na lucky patcher
2.nenda obb liangalie game kama lipo utakuta folder pale usi cut kwanza nenda kwenye lucky patcher
3.then nenda kwenye lucky patcher chakachua ukifika kwenye hatua ya go to file na okey bonyeza okey baada ya hapo litakua tayari nenda obb
4 ukienda obb litakua tayari umshachakachua cut alna paste sehemu nyingine
5.hakikisha pale ulipo cut kwenye obby lisiwepo
6.nenda kwenye setting app ka unstall,

7 then nenda kwenye folder.......
Nenda file manger android data tafuta folder
76e4d807157a44d83f31dc38768efa61.jpg
ed19edccf4c8ca8ee950d3a5542a6ab6.jpg
0d64ab517ab232bead7029e6d11c3a41.jpg
6c7ab364afc64d8323f9a46789a2bc88.jpg
652e538f8d23cecf43a307ef0f27d46a.jpg
8294ccc005a75127cd055e6d38905797.jpg
hapo mwisho ukiikuta hiyo icon then install mchezo kwisha
 
Mkuu hii game nimeicheza mpak mwisho yani kwenye ile stage unayocheza na timu yako,ila mm ni mpenzi wa hili game na kwa kifupi ukilizoea inakuwa inaboa kuanza na kina cralk hawana kasi wana nyata ndio maana nlitaka nipate coin za kuchakachua kwa muda mfupi ili niwahi elite nikimbizane na kina ronaldo na kikubwa sipendi kusajiri wenye majina napenda niwe na coin za kumupgrade clark awe na 100 kuanzia kasi mpaka goalleeping ili nipambane na kina messi
Wanakuzingua we chakachua tu upate ukitakacho,coins zipo limit sana mpaka unashindwa badilisha jezi,kujenga uwanja,nenda kachakachue umpate mchezaji unayemtaka,uone raha ya game na ufurahie ushindani,wao wenyewe wanatupa timu kama Barcelona timu imekamilika pamaoja na tunashinda hivyo hivyi ila nao wakutane nasi tumesajil viumbe hatari raha ya game ucheze huku unagonga nyavu mbaya
 
528bc1f9886ebb65789470a1bebe52b5.jpg

Nivipigo natembeza baada ya kutumia takriban miezi mitatu mpaka kufika elite
 
mkuu ilo game baya ingia Google download appvn hii ni application kama play store afu tafuta game linaitwa first touch soccer 17 autajuta
Thkx man maana fts15 nilicheza had nikachoka afu fts15 hard level n nzur kuliko dream league 17 ..xo nafkr n muda wa ku uninstall dreamleague
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom