Nimejaribu check video YouTube wakishamaliza kupatch wanakutana na go to file,wakiclick wanakutana na unstall/install wanabonyeza hapo lakn mm nakutana na maneno yafuatayonimeona kama wadau hapo juu wanasema version mpya haifanyi kazi na lucky patcher
Kwani lazima uipatch wewe mkuu mbona ishawekwa humu ambayo ipo na coins zake nyingi tu. Itafute uipakueNimejaribu check video YouTube wakishamaliza kupatch wanakutana na go to file,wakiclick wanakutana na unstall/install wanabonyeza hapo lakn mm nakutana na maneno yafuatayo
1.install
Nikibonyeza hyo ndo linakuja jibu la error labda ni unstall game ya mwanzo niingiz hii ndo ujumbe unavyosema
2.rebuld
3.install as system App
4.delete this file
5.share the App
ndo maan hapo pananiwia ugumu
Sent using Jamii Forums mobile app
na kama umeroot simu achana na lucky patcher jifunze kutumia app za kucheat manual kama gameguardian, sb gamehacker na gamekiller utacheat sio dream league tu, bali almost game zote.Nimejaribu check video YouTube wakishamaliza kupatch wanakutana na go to file,wakiclick wanakutana na unstall/install wanabonyeza hapo lakn mm nakutana na maneno yafuatayo
1.install
Nikibonyeza hyo ndo linakuja jibu la error labda ni unstall game ya mwanzo niingiz hii ndo ujumbe unavyosema
2.rebuld
3.install as system App
4.delete this file
5.share the App
ndo maan hapo pananiwia ugumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo online huku mkuu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji20] [emoji20] [emoji13]
Yaani toka nianze kucheza online sijawahi cheza na wabongo dadeeekiiiiBaraka nakusaka nkupgie week[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna GB 5 za Internet
Msomba njoo online dream leagueNna GB 5 za Internet
4G LTE full speed
Njoeni njoeni niwapiga 6 O'Clock
Sent using Jamii Forums mobile app
Watch wachu say...Nipo Online Wakuu. Kumbukeni ahadi yangu ya Vocha ya elfu 5 kwa atakaenifunga.
Jina la timu: Cyper Fc
sent by Samson Cyper
Hiyo trick , unachofanya ni kuurudisha mpira kwa Kipa kisha anatembea nao mpaka anafunga.Jamani mimi mnijuze ile trick ya kipa kutembea na mpira (kipa anakuwa kaudaka mpira halafu badala ya kuupiga anaudosha chini na kuanza kutembea nao)
Nimeiona sana online, je control zipi zinatumika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gusa ur touch screen like una swap mpira utadondoka chini kipa ataanza kutembea na mpira balaa lake kipa akinyang'anywa mpira basi ni nyavuJamani mimi mnijuze ile trick ya kipa kutembea na mpira (kipa anakuwa kaudaka mpira halafu badala ya kuupiga anaudosha chini na kuanza kutembea nao)
Nimeiona sana online, je control zipi zinatumika?
Sent using Jamii Forums mobile app