Apk ya Dream League soccer 2017

Nmeahirisha mkuu,kucheza bila kucheat sometimes kuna raha yake,spirit ya kucheza kwa morality inakuwepo

Vidole vyote vinauma saiziii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa game kama ya mpira cheat yake kubwa ni coins na ukipata coins wachezaji unaowataka ukinunua kinachofuata ni kuwapeleka asilimia 100 baada ya hapo nini kinafuata?kuna game za actions ambazo mission zake ni ngumu kwelikweli ukiwa huna spirit ya kucheat unaweza kukaa hata siku kadhaa wiki au mwezi bila kucheza, hizo hata ukicheat ili uende next stage haina shida. Lakini raha ya challenging games ni kukomaa lets play responsibly wakuu
 
mkuu umeshalipata hili?
yap nimelicheza sana tu best soccer game kwenye simu, kuanzia graphics, controller etc ila nimeli un install maana unacheza ukiwa na internet tu na kusajili hata kama una hela ni bahati nasibu.

download utest kama gb 2 hivi playstore.
 
Nmeahirisha mkuu,kucheza bila kucheat sometimes kuna raha yake,spirit ya kucheza kwa morality inakuwepo

Vidole vyote vinauma saiziii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee mkuu mimi ni mikono kabisa, vidole vilishakufa ganzi
 
Attachments

  • 1497796868404.png
    77 KB · Views: 70
  • 1497796889661.png
    78.2 KB · Views: 70
  • 1497796902393.png
    236.7 KB · Views: 66
  • 1497796918868.png
    212.5 KB · Views: 68
  • 1497796932200.png
    75.3 KB · Views: 67
yap nimelicheza sana tu best soccer game kwenye simu, kuanzia graphics, controller etc ila nimeli un install maana unacheza ukiwa na internet tu na kusajili hata kama una hela ni bahati nasibu.

download utest kama gb 2 hivi playstore.
online tu?hapana.
Kuna game gan lingne zuri tofauti na hayo?
 
HIVI hilo game unacheza mwenyewe kama ilivyo fifa na pes au unaset wachezaji,tactical then linajicheza lenyewe kama footbal manager?
 
Full kunyanyua kwapa PES 2017
Hili game bado sijalielewa, tayari nime_download lakini bado nashindwa kupata utamu nao upata kwenye DLS.... Njoo mkuu utoe ufafanuzi uzuri wa hili game kabla sija unstall
 
yap nimelicheza sana tu best soccer game kwenye simu, kuanzia graphics, controller etc ila nimeli un install maana unacheza ukiwa na internet tu na kusajili hata kama una hela ni bahati nasibu.

download utest kama gb 2 hivi playstore.
Umekua muwazi mkuu safi, kweli hili game linataka ucheze wakati lina access na internet.... Bado halijawa na uzuri kama DLS
 
Umekua muwazi mkuu safi, kweli hili game linataka ucheze wakati lina access na internet.... Bado halijawa na uzuri kama DLS
kila game lina uzuri wake na ubaya wake hata dream league lina mapungufu tena mengi tu, mfano unaweza eka tactics za kupaki basi (defensive) na kujaza mabeki kibao, ila muda wote ukafungwa magoli ya counter attack.

kucheza na internet sio issue kubwa sababu linahitaji internet ukimaliza mechi, na sio wakati unacheza, kilichoniboa mimi ni usajili, unawekeza hela zako then wakati wa usajili ni bahati nasibu inapita mipira kwa kasi unachagua mmoja then unafunguka unakuta mchezaji, unaweza poteza hela kibao usipate mchezaji mkubwa.

na wacheza wana mikataba mifupi, unakuta mechi 10 tu mkataba unaisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…